VeepeDuhhh.....
Ndio nimekamata nafasi hapa ili nipate mauzowefu.....Veepe
Hujawahi uza au
OoohNdio nimekamata nafasi hapa ili nipate mauzowefu.....
Kuhusu.....oya we vipi
Kwakuwa haina efd nadhani sii vibaya kujaribuNijuavyo Mimi Biashara yoyote ile ina Faida yake na ina hasara yake ambayo ni moja ya Changamoto.
Kwakuwa hiyo ni Biashara ambayo inaendana na Kinyume na Maadili ya Nchi nyingi, kaa ukijua fika wewe kujuana na Polisi itakuwa kitu cha kwaida sana. Nikiwa na maana,
Lazima mwanzoni usumbuliwe sana, na baadae ukishajulikana hao hao ambao wanaokusumbua ndio watakaokuja kuwa Marafiki zako, kwasababu,
Watakuwa wanakuja kuchukua chao ili kukulinda wewe.
Ila utakapokuja kustuka kama sio Mtu wa kujipanga ukifanya Mchezo Faida ya Biashara mtakuwa mnagawana nusu kwa nusu, au zaidi kwenda upande wao bila ya wewe mwenyewe kujua.
Kwanini nimesema hivyo?
Ni kwasababu Pesa ya kuwalinda itakuwa inatoka sana, na itakuwa mara kwa mara.
Hapo ukiongezea na wale wa bahati mbaya kisha mnamalizana hapo kwa hapo.
Utapata jibu ni kwamba Changamoto ni kubwa sana
Mkuu umemshauri sawa.Nijuavyo Mimi Biashara yoyote ile ina Faida yake na ina hasara yake ambayo ni moja ya Changamoto.