Anatafutwa mtu mpambanaji wa kuuza kuku soko la Shekilango, Dar es Salaam

chief iddy

Member
Jul 20, 2016
85
60
Habari wanajukwaa mimi ni mjasiriamali ambaye ninafuga kuku wa nyama na nataka kuanza kuuza pia sokoni hasa soko la Shekilango na kwenye restaurants.

Kulingana na majukumu imenipasa nitafute msaidizi wa kuuza kuku na kutafuta oda tutalipana kwa commissions yani kadiri anavyouza.

Niweke wazi kua sijawahi kuuza kuku sokoni nauzaga shambani tu, ila kulingana na changamoto za masoko na kukua kibiashara nataka kujitanua zaidi.

Napenda awe mtu mpambanaji na uchu wa mafanikio kwani kazi ya sales sio rahisi. Mwenye kuhitaji anitafute inbox. Natanguliza shukran
 
Kuna dogo alikuwa akiuza samaki kutoka mwanza ngoja nimcheki atakuwa na uzoefu. Kazi za sales and marketing zinahitaji mtu asiye na aibu asiwaze sijui pisi kali zitanionaje.

Nmefanya sales siku ya kwanza nilikuwa na uwoga sana kwenda nyumbani kwa mtu kumshawishi mtu anunue bidhaa yako mpya asee inahitaji uvumilivu sana.
Baada ya kuzoea ilikuwa kawaida sijali lolote tena najvunia kazi yangu, but mwanzo ni mgumu, mgumu sana.

Theoretically ni rahisi ila kiuhalisia kwa mtu asiye na uzoefu ni mbingu na ardhi.
 
Habari wanajukwaa mimi ni mjasiriamali ambaye ninafuga kuku wa nyama na nataka kuanza kuuza pia sokoni hasa soko la Shekilango na kwenye restaurants.

Kulingana na majukumu imenipasa nitafute msaidizi wa kuuza kuku na kutafuta oda tutalipana kwa commissions yani kadiri anavyouza.

Niweke wazi kua sijawahi kuuza kuku sokoni nauzaga shambani tu, ila kulingana na changamoto za masoko na kukua kibiashara nataka kujitanua zaidi.

Napenda awe mtu mpambanaji na uchu wa mafanikio kwani kazi ya sales sio rahisi. Mwenye kuhitaji anitafute inbox. Natanguliza shukran
Duh ila hapo Shekilango Sokoni pana harufu mbaya sijui watu wa afya wako wapi kila nikikatiza maeneo hayo lazima nizibe pua.
 
Habari wanajukwaa mimi ni mjasiriamali ambaye ninafuga kuku wa nyama na nataka kuanza kuuza pia sokoni hasa soko la Shekilango na kwenye restaurants.

Kulingana na majukumu imenipasa nitafute msaidizi wa kuuza kuku na kutafuta oda tutalipana kwa commissions yani kadiri anavyouza.

Niweke wazi kua sijawahi kuuza kuku sokoni nauzaga shambani tu, ila kulingana na changamoto za masoko na kukua kibiashara nataka kujitanua zaidi.

Napenda awe mtu mpambanaji na uchu wa mafanikio kwani kazi ya sales sio rahisi. Mwenye kuhitaji anitafute inbox. Natanguliza shukran

Kama ni mpambanaji si angeuza zake?
 
Back
Top Bottom