Nawezaje kusafirisha pweza toka Lindi hadi mwanza pasipo kuharibika??

Chukulia Tanga, kisha usafirishe Mwanza. Lindi ni mbali sana, nenda Pangani,Mkwaja,kipumbwi pweza utapata kwa bei nafuu. Kisha waweke kwenye mabarafu au ukodi gari yenye jokofu mpaka Mwanza.

Kama unaanza tafuta delli kisha tia barafu za kutosha Pakia kwenye basi za Ally's za Tanga Mwanza.
 
Kuna gar za tanga mwanza
 
Aisee huu ndo ushauri bora tangu niingie jf
Asante mkuu
 
Chukulia Tanga, kisha usafirishe Mwanza. Lindi ni mbali sana, nenda Pangani,Mkwaja,kipumbwi pweza utapata kwa bei nafuu. Kisha waweke kwenye mabarafu au ukodi gari yenye jokofu mpaka Mwanza.

Kama unaanza tafuta delli kisha tia barafu za kutosha Pakia kwenye basi za Ally's za Tanga Mwanza.
Ally's Siku hizi haipo Tanga ..Maybe Frey's jappo inaishia Shy
 
Back
Top Bottom