Tujuzane changamoto za kuuza bhangi

9bos.jpg

anko magu watu wameshadata huku..legeza kidogoo
 
Unataka kuwa sadali au pusha mkubwa kama unataka kuwa pusha mkubwa lazima uwe na mkwanja mrefu wa kutoa dawa kama gunia mbili kutoka Arusha, Mara,Morogoro,Mbeya au Malawi mzigo huo utakua bado haujachambuliwa wala kukatwa hivyo wewe utafanya kazi kuchambua kushabu na vichwa na kufunga kwenye stork ndogondogo au puli na kuwauzia masadali kwa kete hapo ndio utaanza kupiga hela ndefu na kutafutwa na wazee asubui,mchana na usiku kama unataka kuwa sadali wewe jiandae kubeba kibegi chako chenye rizla,kushabu,kali na dawa yenyewe ukiwa unaishi kama kunguru jela ndiyo patakua kama kwenu kwa kua hata ela utakayo pata haitoshi kuhonga wazee na viongozi wa mitaa ya biashara yako kama ukiwa chuga unachezea visu saa yoyote.Faida utakazo pata utakua hauna iyo arosto uliyo nayo pia utapata vijicent hauta kabwa mitaani kwakuwa vibaka ni wateja wako...
 
Mkuu umemshauri sawa.
Changamoto kama hiyo niliishuhudia kwa dada mmoja muuza gongo mashuhuri hapa kitaa.
Alikuwa akishikwa mara kwa mara, anahonga na kuachiwa.
Ilifikia hatua akapewa masharti ya kudumu na huyo polisi aliyekuwa akimkamata mara kwa mara kwamba, ''wewe nimekukamata sana na hautaki kuacha hii biashara yako haramu, sasa hautaona sura yangu tena kwako.
Ukuniona elewa kuwa hautanihonga, ni jela moja kwa moja".
"Kuanzia leo sehemu yoyote tutakayoonana ama kukutana na wewe lazima utoe hela, yaani popote tukikutana, iwe sokoni, barabarani, kwenye sherehe, popote pale bila kujali tumeonana ama tumekutana mara ngapi kwa siku hiyo. Na kiwango cha kunipa hiyo shukrani yako ni kuanzia elf10 kuendelea''.
Yule mama alitoatoa mwishowe akanyenyua mikono. Faida yote ikawa inalambwa na yule polisi.
Sasa hivi namuona akiuza sokoni, katulia.
Kiukweli biashara haramu siyo. Itakugharimu sana bila faida ya maana yenye kueleweka.
Daaaahhhh wazee hii business ya Bob Marley stick in noma, at any time unahisi ww ni wanted!
Unataka kuwa sadali au pusha mkubwa kama unataka kuwa pusha mkubwa lazima uwe na mkwanja mrefu wa kutoa dawa kama gunia mbili kutoka Arusha, Mara,Morogoro,Mbeya au Malawi mzigo huo utakua bado haujachambuliwa wala kukatwa hivyo wewe utafanya kazi kuchambua kushabu na vichwa na kufunga kwenye stork ndogondogo au puli na kuwauzia masadali kwa kete hapo ndio utaanza kupiga hela ndefu na kutafutwa na wazee asubui,mchana na usiku kama unataka kuwa sadali wewe jiandae kubeba kibegi chako chenye rizla,kushabu,kali na dawa yenyewe ukiwa unaishi kama kunguru jela ndiyo patakua kama kwenu kwa kua hata ela utakayo pata haitoshi kuhonga wazee na viongozi wa mitaa ya biashara yako kama ukiwa chuga unachezea visu saa yoyote.Faida utakazo pata utakua hauna iyo arosto uliyo nayo pia utapata vijicent hauta kabwa mitaani kwakuwa vibaka ni wateja wako...

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Changamoto ni askali tu, faida ni kede kede.. mzigo wa 5000 unapiga mpaka 30 elfu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom