Tujuzane changamoto za kuuza bhangi

oya we vipi
Kuhusu.....
images.jpg
 
Nijuavyo Mimi Biashara yoyote ile ina Faida yake na ina hasara yake ambayo ni moja ya Changamoto.

Kwakuwa hiyo ni Biashara ambayo inaendana na Kinyume na Maadili ya Nchi nyingi, kaa ukijua fika wewe kujuana na Polisi itakuwa kitu cha kawaida sana. Nikiwa na maana,

Lazima mwanzoni usumbuliwe sana, na baadae ukishajulikana hao hao ambao wanaokusumbua ndio watakaokuja kuwa Marafiki zako, kwasababu,

Watakuwa wanakuja kuchukua chao ili kukulinda wewe.

Ila utakapokuja kustuka kama sio Mtu wa kujipanga ukifanya Mchezo Faida ya Biashara mtakuwa mnagawana nusu kwa nusu, au zaidi kwenda upande wao bila ya wewe mwenyewe kujua.

Kwanini nimesema hivyo?

Ni kwasababu Pesa ya kuwalinda itakuwa inatoka sana, na itakuwa mara kwa mara.

Hapo ukiongezea na wale wa bahati mbaya kisha mnamalizana hapo kwa hapo.

Utapata jibu ni kwamba Changamoto ni kubwa sana
 
Nijuavyo Mimi Biashara yoyote ile ina Faida yake na ina hasara yake ambayo ni moja ya Changamoto.

Kwakuwa hiyo ni Biashara ambayo inaendana na Kinyume na Maadili ya Nchi nyingi, kaa ukijua fika wewe kujuana na Polisi itakuwa kitu cha kwaida sana. Nikiwa na maana,

Kwakuwa haina efd nadhani sii vibaya kujaribu
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya hiyo biashara ila anakawambia changamoto kubwa sana ni polisi lakini inafaida kubwa sana.

Yeye kwa siku alikuwa anabadilisha nguo zaidi ya mara tatu kwa sababu kuna watu walikuwa wanamchomesha mara kwa mara so ilibidi awe anabadili muonekano kila mara. Alikusanya mpunga wa kutosha tu na lengo lake lilivyotimia tu akaachana na ile baishara.
 
Kwa kukuongezea tu! Hii ni moja ya Biashara ambayo MAJANGA yake yatakukuta ukiwa ktk peak ukijiona na mtaji mkubwa!

Namaanisha! Ni biashara ambayo unaweza kujiona una 10mil TSHs ktk mzunguko! Mara paap! Msala huu hapa! WAZEE wanataka 10m umalizane!

Tunaita Maji kupwa. Maji kujaa!
 
Nijuavyo Mimi Biashara yoyote ile ina Faida yake na ina hasara yake ambayo ni moja ya Changamoto.

Kwakuwa hiyo ni Biashara ambayo inaendana na Kinyume na Maadili ya Nchi nyingi, kaa ukijua fika wewe kujuana na Polisi itakuwa kitu cha kwaida sana. Nikiwa na maana,

Lazima mwanzoni usumbuliwe sana, na baadae ukishajulikana hao hao ambao wanaokusumbua ndio watakaokuja kuwa Marafiki zako, kwasababu,

Watakuwa wanakuja kuchukua chao ili kukulinda wewe.

Ila utakapokuja kustuka kama sio Mtu wa kujipanga ukifanya Mchezo Faida ya Biashara mtakuwa mnagawana nusu kwa nusu, au zaidi kwenda upande wao bila ya wewe mwenyewe kujua.

Kwanini nimesema hivyo?

Ni kwasababu Pesa ya kuwalinda itakuwa inatoka sana, na itakuwa mara kwa mara.

Hapo ukiongezea na wale wa bahati mbaya kisha mnamalizana hapo kwa hapo.

Utapata jibu ni kwamba Changamoto ni kubwa sana
Mkuu umemshauri sawa.
Changamoto kama hiyo niliishuhudia kwa dada mmoja muuza gongo mashuhuri hapa kitaa.
Alikuwa akishikwa mara kwa mara, anahonga na kuachiwa.
Ilifikia hatua akapewa masharti ya kudumu na huyo polisi aliyekuwa akimkamata mara kwa mara kwamba, ''wewe nimekukamata sana na hautaki kuacha hii biashara yako haramu, sasa hautaona sura yangu tena kwako.
Ukuniona elewa kuwa hautanihonga, ni jela moja kwa moja".
"Kuanzia leo sehemu yoyote tutakayoonana ama kukutana na wewe lazima utoe hela, yaani popote tukikutana, iwe sokoni, barabarani, kwenye sherehe, popote pale bila kujali tumeonana ama tumekutana mara ngapi kwa siku hiyo. Na kiwango cha kunipa hiyo shukrani yako ni kuanzia elf10 kuendelea''.
Yule mama alitoatoa mwishowe akanyenyua mikono. Faida yote ikawa inalambwa na yule polisi.
Sasa hivi namuona akiuza sokoni, katulia.
Kiukweli biashara haramu siyo. Itakugharimu sana bila faida ya maana yenye kueleweka.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom