Annie Josh
Senior Member
- Nov 17, 2010
- 184
- 67
If is a little smart will get you, otherwise he'll end up much stressed!duh anothee chaga thread... kaka kama unataka kupata mke ama sttle ya kuish na wachaga kwa kuwajua kupitia mitandaon utakuwa umekosea... tabia zinatofautiana mtu had mtu.. tabia za kiasil zipo chache sana tena siku hz zinazid kupotea si kwa wachaga bal kila kabila tz... kama yy huyo kaka kaka yako ni smart enough kichwan haina haja ya kuanza kutafuta matabia ndo utazid kumiss lead mwache ajichanganye kwenye society ili ajifunze mwenyewe unaweza ukamwambia ambavyo sivyo ilivyo ama tabia ambayo utaambiwa wachaga wanayo utakayotaka kumuonya nayo kumbe yy ndo anayo hiyo tabia.. katika maisha tuna hi adjust kutokana na mazingira ndo maana utaona wachaga wako kila kona wanapiva biashara wakifika huko ugenini wanaendana na wenyej lifestyle yao hii ndo sheria mama ya kuish popote huwez kuosh katikakat ya jamii ngen ukaleta lifestyle yako mwenywe utapata shida
Wachagga wanapenda helaMambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.
baba ako mdogo alikuwa boya huyono offense,but tunayaona kwenje jamii yetu,baba angu mdogo ashanusurika kwa mwanamke wa kimachame..
kaka ushauri mzuri sana huu.Wachaga wana juhudi sana ktk mambo ya maendeleo pia wengi wao ni wazuri wa sura,ILA kiukweli wamachame wana hasira sana na ukatili,wamarangu wengi ni wasomi na wengi wao wana dharau,nina ushahidi kabisa ktk hayo,mshauri kama ni kuoa akaoe Mrombo.
MKUU, HONESTLY wanawake wa kichaga mwanzoni wakati mnaanza uhusiano unaweza ukampenda sanaa na ukamwamini kwani wanajua sana kupretend ili tu waolewe, na wanapenda kuharakisha ndoa ili usimsome sana.Jamani,
Mimi ni m2 wa Mbeya,nina kazi ya uhakika nahitaji kuoa na nimekutana na wadada wengi ambao ni level yangu kielimu lakini sijaona ambae anaupendo na mimi.
Recently,nimekutana na mtoto wakichanga ambae ninaona kama unaupendo na mimi toka moyoni,sijamwambia intention yangu lakini naona kama ananifaa japokua kuna difference kubwa kishule though its not an issue kwangu.
Maisha yangu yote sijawahi kufikiria kuoa uchagani kwa sababu ninazozijua mimi lakini baada ya kukutana na huyu naomba kama niko mbioni.Ebu nisaidieni jamani what should I expect from those ends?