Tujulishane tabia za wachaga

Tujulishane tabia za wachaga

Shaaban Haufi

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
75
Reaction score
10
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.
 
Mwambie akifika huko awaulize wenyeji tabia zao zikoje, watamwambia tu...
 
Mwambie aoe ila atafute mwanasheria wake lolote laweza tokea,aandike urithi kama anavijisenti,akaunt yake inasoma sh,ngapi,aende na bank statement ili kuthibitisha kweli anahela...loading error...
 
Mambo vipi! i hope u are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani(kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu


Wachaga hela kwanza heshima baadaye, tofauti kubwa sana na makabila mengine especial WAHAYA

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hata hivyo huko anakotarajia kwenda (tpc) kuna mchanganyiko wa watu. Akienda hataona tofauti kwa vile kuna makabila mengi sana. Labda kama yeye kanuia wachagga tu.
 
Tunajuaaendeleo ... hupewi hela ambayo ujafanyia kazi mkuuu.... kama biashara afanye kweli la sivyo atarudi kwao wapi huko...... muhimu chezea mimi usichezee pesa yangu chaliii utaonja ardhi.
 
yeye anaenda kambini TPC ambapo kuna mchanganyikjo wa watu,wengi wao ni watu kutoka mbeya na wamasai...kingine ni kuwa mji umekuwa ule pale mjini watu hawana mawazo yakipuuzi kama unavyowaza,pale muhimu nikujituma na kuwa na akili nyingi,ukizubaa unazikwa(kiuchumi) ila faida kubwa yakuishi kilimanjaro ni kuwa utapata elimu yakimazingira ambayo itakuwezesha kuwa na uwezo wakuishi popote pale dunian..maswala yakuoa ni pale moyo unapodondokea siyo lazima mchga
 
Kwani wanawake uchagani ni wakimachame tu?

Ni utafiti wa taasisi gani uliofanywa kuonyeaha kuwa wanawake wa kimachame ni wauwaji?

no offense,but tunayaona kwenje jamii yetu,baba angu mdogo ashanusurika kwa mwanamke wa kimachame..
 
Sio kweli kuwa wote wabaya, wapo wenye tabia nzuri na wenye hofu ya Mungu. Awe makini tu
 
Anaenda TPC Kisha anaulizia tabia za wachagga!! Ni kama mtu anayeulizia tabia za wazaramo kisa anahamia Dar!!
Anaweza apende bint wa kabila lingine kabisa.
 
wachaga kila mara,humu jf kuna post kibao zinazozungumzia hilo kabila,jaribu kufuatilia
muhimu aaangalie moyo wake utakapodondokea,kila mtu ana tabia tofauti na ana malezi tofauti...ila ushauri wangu kwako msiwaze kuendekeza ukabila,sote tu ndg moja...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom