Tujikumbushe walio bungeni isivyo halali

unaishi tz wewe mtoa mada au? labda umekosea, ni halali na wala si harali
Kicha, mbona hayo ni makosa ya kawaida sana ambayo hayapotoshi maana kwa msomaji yeyote. Kumlazimisha Mkurya au Msukuma aseme halali, kama wakisema harari unashangaa nini?
Labda wewe ndio si Mtanzania.
 

siku 1 baada ya kumtangaza kilaza juma njwayo wa magamba, askari walikuja hapa kitama (kijijini kwao katan) wakapiga raia mbaya, mabomu na risasi hewani, wakamvunja mkono katan kwa kipigo kikali.!!
 
Dr Makongoro Mahanga(segerea)

Mkeketa(kilombero)

Maselle(shinyanga mjini)
 
Aeshy hilaly sumbawanga mjini alitangazwa huku mabomu yakilindia kwa wizi wa kura kutoka kwa Yamsebo wa cdm
 
Amosi makala mvomero huyu alifumwa juzi akiangalia picha za ngono bungeni!
 
Steven wasira,bwana usingizi wa bunda

MATOKEO JIMBO LA BUNDA:

STEPHEN M. WASIRA-CCM -KURA 28,739.

GERVAS MAALUGU-CHADEMA -KURA 10,212.

MIRIUM SONGAMBELE -CUF-KURA 327.

Mshindi nani hapo Mkuu!?

USIKURUPUKE , UTASHIKISHWA UKUTA.
 
Wale wote walioingia Bungeni kutoka majimbo ya uchaguzi bila kuchaguliwa kwa kupitishwa bila kupigiwa kura (absurdly referred as "kupita bila kupingwa"). Hawa siyo wabunge halali wa kuchaguliwa kwani hawakuchaguliwa na mtu hata mmoja!
 
Mkuu ngoja nikusaidie wale wasiomfahamu wamjue kuwa ni yupi unayemzungumzia:

Hiyo ya zamani mno mpaka inabore tupe mpya ambayo amelala miezi 2 iliyopita, mwezi 1, wiki 1 au bunge hili.
au toa picha tofauti na hiyo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…