Tujikumbushe walio bungeni isivyo halali

Bila kusahau hili la Arumeru Mashariki,hadi nature ikaamua kufanya kazi yake,..vilevile Chilligati nae hali ilikuwa mbaya,ujanja wa magamba ukamwokoa!
 
Makongoro Mahanga baada ya kuona wizi umeshindikana Segerea, maboksi yote ya kura yaligamishiwa mnazi mmoja. saa nane usiku kura zikahesabiwa tena "akashinda"!!!!!!!!!!!!
 
Pinda, Anna Makinda, Mkono, January Makamba na wabunge wote waliopitishwa na tume kwa madai ya kupita bila kupingwa. Hawakuchaguliwa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Kwanini wasipigiwe kura ya ndio au hapana?
 
Dr. nchimbi waziri wa habari na utamaduni jimbo la songea mjini aliiba kura na alitangazwa usiku na ulinzi wa geshi,aligalagazwa na mwanasheria maarufu songea bwana MBOGOLO
 
Hamis Kagasheki Bukoba mjini, Jason Rweikiza Bukoba Vijijini Schumpter wa Misenyi hawa waliongoza kwa kuiba na kutoa rushwa.
 
Mizengo Pinda, January Makamba na wabunge wenzao wote "waliopita bila kupingwa". Wabunge hawa hawajaainishwa katika katiba. Hawakuchaguliwa na wananchi, hawakuteuliwa na rais, si wabunge wa viti maalum wala hawana namna yoyote waliyotajwa kikatiba.

Mwenzao mwingine aliyejaribu mtindo huu Lawrence Masha walimshikia bango tukaona katupwa nje na kwa kweli si kipenzi cha watu kiasi hicho.

Hizi habari za "wabunge waliopita bila kupingwa" zinavunja katiba.
 
Nahisi kizunguzungu nikisikia mbunge kapita bila kupingwa!Ina maana yeye ni zaidi ya Yesu?It funny!Isn't it?
 
pia UJI wanasemaje tena mkuu
Mkuu Kiswahili ni Lugha ngumu sana. Watanzania wengi hawaielewi hasa katika kuandika. Pia kuna lafudhi ambazo zinatuathiri katika matamshi na maandishi ya kiswahili. Wachaga wengi hawawezi kutamka neno nchi lazima atatamka nji! Mhaya hawezi kutamka neno ng'ambo yeye atakuambia ngambo! Mbondei atakutamkia kupunzika badala ya kupumzika. Mkurya hana kitu kinachoitwa la yeye kulala atakutamkia/kuandikia kurara.

Mkuu ndiyo lugha yetu hiyo pamoja na lafudhi zetu. Wengine pia unakuta wako nje ya Tanzania muda mrefu hivyo hata matamshi yanakuwa tabu. Unajua tena raha ya lugha uinene kwa ngeri, vijazi na visifa.
 
Godbless Lema wa arusha Mjini,
Alitumia kauli zenye chuki za kidini na kibaguzi kuwalobby mbumbumbu
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom