Tujikumbushe walio bungeni isivyo halali

Ila kuna wengine majimbo yalikuwa ya kushinda hawakujipanga ht wengine hawakujumlisha matokeo yao kabla! Hawakuwa hata na compyuta pia walituangusha!
 
Nashindwa kuwaelewa baadhi ya wana JF, kwa nini hawawezi kuandika kiswahili fasaha na sanifu au ndio wale waliotoka shule za kata?

HAWAFAI HATA KUWA WAHUDUMU WA OFISI

Wnapokosa ajira wakapata wenzake wa Afrika Mashariki wasilaumu
 
Pinda, January na wabunge wote waliochaguliwa na wananchi wanaoitwa 'kupita bila kupingwa'.

Mkuu,yaani nilijaribu hata kuangalia katiba yetu kama ina mwongozo wowote katika hilo,niliambulia patupu.

Yaani hao jamaa ni batili. Ndiyo maana Pinda alipochaguliwa,nilisema hastahili kuchaguliwa kwani si mbunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT.
 
Mizengo Pinda, January Makamba na wabunge wenzao wote "waliopita bila kupingwa". Wabunge hawa hawajaainishwa katika katiba. Hawakuchaguliwa na wananchi, hawakuteuliwa na rais, si wabunge wa viti maalum wala hawana namna yoyote waliyotajwa kikatiba.

Mwenzao mwingine aliyejaribu mtindo huu Lawrence Masha walimshikia bango tukaona katupwa nje na kwa kweli si kipenzi cha watu kiasi hicho.

Hizi habari za "wabunge waliopita bila kupingwa" zinavunja katiba.

Kweli kabisa.
Hili ni fundisho katika kipindi cha uandikaji wa katiba mpya.

Mbunge kama hana mpinzani,apigiwe kura ya ndio au hapana. Na lazima afikishe 50% au zaidi ya kura kutoka kwa wale waliopiga kura.
 
Jumanne Abdala Maghembe - Jimbo la Mwanga. alianzia kura za maoni Waniccm waliopiga kura za maoni ni 18,000 waliomchagua ni 12,781 na leo hii baada ya mwaka mmoja kwa mujibu wa dafatri la Wanachama wa CCM lililohakikiwa juzi tarehe 18 January 2012 lina wanachama 9,000! tu

thread hii ilipaswa title yake ibadilike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom