Mkuu kwanza kupata mwandiko ulinyooka sasa hivi ni shida, watu wameharibiwa na smart phones. Tulijitahidi kuwa mwandiko wa kuridhisha kwasababu barua ilikuwa njia kuu ya mawasiliano. Hii ndiyo sababu yule mwana mama aliendakika vitabu vya Harry Porter alipata umaarufu na sifa nyingi kwa kurudisha vijana kwenye tabia ya kupenda kusoma. Watoto wa siku hizi wanaangalia tamthilia na kuchezea video games.Mkuu hivi kwa kizazi chetu vijana unaona kuna dalili za kuendeleza uandishi kweli au ndio hivo tena tutaendelea kusoma kazi za wazee wetu.
Bahati mbaya siku hizi tunasoma vitabu ili kujibu mitihani na tukishafaulu tunatupa kule.Binafsi nina mswada ulio tayari kuchapwa lkn mfuko hautoshi.Nimejikongoja hadi kwa wahariri na nimekamilisha kulipiaMkuu kwanza kupata mwandiko ulinyooka sasa hivi ni shida, watu wameharibiwa na smart phones. Tulijitahidi kuwa mwandiko wa kuridhisha kwasababu barua ilikuwa njia kuu ya mawasiliano. Hii ndiyo sababu yule mwana mama aliendakika vitabu vya Harry Porter alipata sifa sana, kurudisha vijana kwenye tabia ya kupenda kusoma. Watoto wa siku hizi wanaangalia tamthilia na kuchezea video games.
Ni nini theme ya kitabu chako?Bahati mbaya siku hizi tunasoma vitabu ili kujibu mitihani na tukishafaulu tunatupa kule.Binafsi nina mswada ulio tayari kuchapwa lkn mfuko hautoshi.Nimejikongoja hadi kwa wahariri na nimekamilisha kulipia
na kilichobaki ni kujaza mkataba wa kuanza kuchapa lkn sina uwezo.
Niliwahi kiandika Uzi humu jf kuomba ufadhili ama mawazo yoyote namna ya kukamilisha huu mswada hatimaye kitabu lkn watu walipita kimya kimya.
Nimezungimzia jinsi kijana anavokuwa na ndoto yake atakapokuwa mkubwa lkn anakutana na vikwazo kadhaa vinavyomhamisha kutoka kwenye lengo.Ni dhahiri kuwa walio wengi tunaishi nje ya ndoto zetu.Maeneo yanayochangia kuhama kwenye ndoto yanaweza kuwa ni kwenye familia,shule kwa maana ya shule ya msingi na selpndari Na chuo.Makundirika pia huchochea mtu kuishi nje na ndoto yake.hatimaye vipaumbele vya serikali humhamisha kijana kwenye ndoto.Ni nini theme ya kitabu chako?
Vyote vipo Ben and Company!Simu ya Kifo- Katalambula
Mzimu wa Watu wa Kale- Mohamed
Utu Bora Mkulima-
Aliyeonja Pepo-
Pepo ya Mabwege- H. Mwakyembe
Mabepari wa Venisi-
Kiu- Mohamed
Barua Ndefu Kama Hii-
Tendehogo-
Hawala ya Fedha-
Wasifu wa Siti Binti Said-
Lina Ubani-Penina Mlama
Nguzo Mama-
Njozi Iliyopotea- Mugogo
Nyota ya Rehema-
Usiku Utakapokwisha- E Kezirahabi
Fungate ya Uhuru- M. Seif Khatibu
Kuli- Shaffi A. Shaffi
Kasri ya Mwinyi Fuad- S. A. Shaffi
Kikomo- E. Musiba
Gamba la Nyoka-
Mashetani-
Tafakari...!!
Safari ya bulicheka kwenye merikebu. Ni hadithi ya kusisimua sanaMimi nilisoma bulicheka na lizabeta,walivopotea baharini
Hata mimiHivi ni vitabu nilivyojibia mtihani wa form four, Three suitors one husband, The River Between, Things Fall Apart
Vyote vipo Ben and Company!
Nenda posta, mtaa wa samora, kuna bookshop inaitwa Tanzania Publishing House (TPH). Wana vitabu vingi SanaJapokua siko katika rika la makamo. Nilivipata na bado nazitafuta kazi zingine za fasihi haswa za huyu Abdulla.
Yes, that's right! Makumazani nilisahau hilo jina.Allan Quatermain alikuwa akijulikana pia kwa jina la Makumazani
Natumaini mu-wazima
Ni wangapi wanakumbuka kitabu cha Rosa Mistika..
Mkuu hata yy akipatikana siyo mbaya kwani ndoto yangu ni kuja kuwa mwandishi wa vitabuUkubali kuingia ubia na mtu mgawane faida kwenye mauzo.