mwanamilongo
Member
- Oct 11, 2015
- 48
- 4
hiki ndio kitabu bora Tanzania Hakijapata Kutokea Mpaka Leo ``HOFU`` kimeandikwa na A.E.MUSIBA muhusika mkuu katika kitabu hiki anaitwa WILLY GAMBA,kilichapishwa 1988 ni kizuri sana kwa wale wanaokijua na kama hauna naweza kukupa ukitoe copy ukakisome maana hakipatikaniki
Mfalme Juha.
Hakina tofauti na wafalme wetu wa ccm!
Kuna haja ya kukichapisha tena na kukitengenezea bongo movie.hiki ndio kitabu bora Tanzania Hakijapata Kutokea Mpaka Leo ``HOFU`` kimeandikwa na A.E.MUSIBA muhusika mkuu katika kitabu hiki anaitwa WILLY GAMBA,kilichapishwa 1988 ni kizuri sana kwa wale wanaokijua na kama hauna naweza kukupa ukitoe copy ukakisome maana
hakipatikaniki