Tujikumbushe nyuma kipindi cha Pajero!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nani anakumbuka Pajero??Mimi nakumbuka pajero zinaingia nilikuwa Arusha aliyekuwa anamiliki pajero ya kisasa ni mkurugenzi wa AICC!na baadhi ya wahindi!hapo nimwaka 1989!kumbuka na wewe!
 
Mi nakumbuka enzi hizo nikiwa mtoto huko arusha, ngarenaro alikuwa anayo mwenyekiti wa CCM mkoa marehemu Issa Ramadhani.miaka hiyo hiyo ya 1989.
 
Nakumbuka Wabunge walipewa Pajero 1985 wakiziita intercooler bana! aaaaisee tulizoea kuziona mandolini 109 tu ilikuwa balaa!! miaka hiyo Nikiwa nyumbii bombii wakati ule mbunge wetu pale town akiwa yule msomali aliyekamatwa na meno ya tembo palikuwa hapatoshi mjini. Kuna dogo mmoja mjomba wake alikuwa anakuja nayo toka Dar! basi ule uwepo ru wa intercooler pale kwao, dogo aliwatafuna kitaa, kila demu anampa tu bureee hahahh
 
Nakumbuka kwetu Makete magari ya chama hasa 1990 ndo yalikuwa pajero. Madereva wake walichezea sana vibinti lakini mwisho wa siku wote ni rutuba ya udongo(marehemu) chezea UKIMWI.
 
Mie naikumbuka Pajero, bar bubu ya mtaa wa Livingstone Dar, ipo mpaka leo bubu hivyohivyo. Kabla haijawa bar bubu na kabla Mzee Mwinyi hajaukwaa Urais alisha kaa hapo na Bi Khadija.
 
Nini pajero bana. Mimi nilikuwa natumia BMW new model, mwishoni mwa miaka ya themanini. Haa haahaa.
 
Kuna kabinti under 18 level ya Primary School enzi hizo kalikuwa kanagawa uroda kama hakana akili nzuri vile, vijana wakakapa jila la Pajero.........Mpaka leo hii kameolewa maeneo ya Tandika lakini kakiibuka uswazi watu wanaendelea kukaita Pajero, sijajua connection ya jina hilo na tabia ya hako kabinti.............
 
Back
Top Bottom