Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu

Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu

Enzi hizo ukiongea na mkuu wako mikono nyuma,siku hizi watunatupa mikono kama waimba bongo fleva.
 
Asante, picha hizi zimetukumbusha mbali. Nimeangalia miili yao, enzi hizo hawajajua kula!. Ilikuwa kula mayai/matunda ni mpaka ushauriwe na daktari!, kula kuku mpaka wakija wageni au siku ya sikukuu. Mtafute Mkapa sasa ni kula kuku kwa kwenda mbele!
 
When was this guys? Joe Sinde Warioba seem to be as young as 35!
 
he he he benja alikuwa potabo....safi sana cheki wanavyomheshimu...
 
Sidhani kama aliyevaa suti ni mtanzania maana enzi hizo suti ilikuwa haikubaliki. Nafikiri hapa mazungumzo yalihusu ukombozi wa Afrika kwani namuona pia mzee Hashim Mbita aliyekuwa katibu mtendaji wa kamati ya ukombozi.
 
Kumbe mkapa kabla hajawa fisadi alikuwa mwembamba!!! na huyo mwenye suti nyeusi ni nani?
 
attachment.php
Heshima mbele!!!

Nyuma hapo mwenye sharti la khitenge ni Warioba huyo.
 
huyu mwenye suti kwa vile enzi hzo ukivaa suti ni fisadi atakuwa mgeni kutoka zile nchi tulizopigania uhuru wao hapo walikuwa wanatoka kwenye mikakati ya kiukombozi enzi za mwalimu uvae suti kama hiyooo thubutuuuuu
 
Mungu na airehemu roho yake mwalimu nyerere!!!
Maana hawa majangili aliyotuachia huku wameshamaliza inchi.
 
Si utani usicheze na Mwl.. hakukopeshi na utashika adabu yako..Wote hapo wana muogopa hata ukisoma sura zao..Sasa hivi hovyo kabisa
 
Alikuwa Uhuru na Mzalendo na mimi RTD Ujamaa the rational choice.
 
warioba ni mzalendo au afya sio murua?

Kwanini wa-Tanzania twapenda sana kuhususha unene na mafanikio? Kwa kuwa Warioba ni mwembamba ina maana SIO MFAKAMIAJI aka MLAJI au vinginevyo ana afya mgogoro!

Hakika ashaikhum si matusi, aliyetoa mawazo haya naamini akili yake ni bikira=HAJAWAHI KUITUMIA!
 
Back
Top Bottom