Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu

aah! Kweli mzee mwenzetu hard disc yako bado nzima maana imetunza hazina kubwa namna hiyo...umenikumbusha kweli enzi za mwalimu ambapo elimu ilikuwa na hazina ya kutosha na vitu vingi vya kukumbuka. Asante sana!
 
Namtafuta humu jamvini aliyepata kusoma kitabu chenye hadithi za Juma na Roza, Damasi, Kula mno ni hasara(Manenge na Mandawa) Heri mimi sijasema, Zamwizi arobaini nk.
Endeleaaaa...!
 
nimenenepa umenikumbusha mbali
enzi hizo nilikuwa kilaza .nimekariri anzia picha
mpaka mistari mdingi ananishkia bakora nisome
nashuka verse mkama ludacris.
siku moja kanishtukia kuwa nimekariri
weeeee naambiwa soma mstari huu natoa machop
nilichezea mikwaju na akili ikakaa sawa anzia that day
lool

Namtafuta humu jamvini aliyepata kusoma kitabu chenye hadithi za Juma na Roza, Damasi, Kula mno ni hasara(Manenge na Mandawa) Heri mimi sijasema, Zamwizi arobaini nk.
Endeleaaaa...!
 
hivi wapi mtu unaweza kupata vitabu vileee vya zamani vya kufundishia kiswahili shule ya msingi!!
 
Ndugu wana JF naomba mwenye kumbukumbu na ilivyokuwa wakati wa utawala wa mwalimu Nyerere wabunge maslahi yao yalikuwa vipi?na nasasa ni halali kwa kipindi hiki wabunge kujilimbikizia posho na madaraka?
Hivi si wapo wabunge wachache waliokuwemo humo ENZI ZA MWALIMU?akiwemo Spika aliyepita(sita)na wa sasa Anna Makinda,
Kwa nini wasirejee yaliyokuwepo wakati ule ili kurudisha upendo kati ya wapiga kura na wapigiwa kura?
Mungu ibariki Tanzania....
 
Enzi za mwalimu mtu alipata ubunge kwa sifa zake, sasa leo bunge ni mali ya walanguzi, WaTZ msishangae mambo ya posho ni zama za bunge la kununua kura ambalo kimsingi posho ndo sehemu ya faida ya biashara iliyofanyika wakati unauza kura yako, ulidhani we mjanja kumbe umzidiwa akili. Pole sana MTz.
 
Wapo ambao walishinda pia bila hela hasa kutoka vyama vya upinzAni
Enzi za mwalimu mtu alipata ubunge kwa sifa zake, sasa leo bunge ni mali ya walanguzi, WaTZ msishangae mambo ya posho ni zama za bunge la kununua kura ambalo kimsingi posho ndo sehemu ya faida ya biashara iliyofanyika wakati unauza kura yako, ulidhani we mjanja kumbe umzidiwa akili. Pole sana MTz.
 
Enzi za mwalimu mtu alipata ubunge kwa sifa zake, sasa leo bunge ni mali ya walanguzi, WaTZ msishangae mambo ya posho ni zama za bunge la kununua kura ambalo kimsingi posho ndo sehemu ya faida ya biashara iliyofanyika wakati unauza kura yako, ulidhani we mjanja kumbe umzidiwa akili. Pole sana MTz.
wewe unamaanisha hata akina zitto, sita, sendeka, makamba, kigwangwala na kilango walinunua kura?
 
Mbona unataja wale wachache ambao hawamo kwenye hilo, basi nikujibu kihisabati chukua wabunge wote harafu toa (minus) hao wachache; jibu litakuwa limepatikana.
 
418104_1898192029887_1694222130_904862_907608624_n.jpg

enzi hizo bwana kweli kulikuwa na rais sio sasa
 
nahisi jamaa cjui ni mkuu wa wilaya huyu au mkoa mwalimu anataka kumchapa mpaka viboko atakuwa alizembea katika mradi fulani
 
Siku hizi utani na heshima imeshuka sana huku maadili ya uongozi yamebaki kuwa katika vitabu.
 
halafu viongozi wa kipindi hicho kulikuwa hakuna vitambi wakuu kama mmeona lakini cku hzi vitambi mpaka kwa majeshi yetuu yani hapo mkapa alikua na umbo zuri sana
 
Back
Top Bottom