Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu

Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu

kikwete+na+pipi.JPG
Usanii at its best!
 
Enzi za mwalimu hakukuwa na mashangingi sijui macruza..enzi hizo ilikuwa mnapanda leyland DAF kwa ujamaa kabisa kama hivi! Sijui hii tabia ya kutaka mashangingi wabunge wa siku hizi wameitoa wapi!

bunge.jpg
 
We chezea vx shangingi unaujua utamu wake kama haujui mulize capten komba au rwakatale presha inapanda presha inashuka
 
Enzi za mwalimu hakukuwa na mashangingi sijui macruza..enzi hizo ilikuwa mnapanda leyland DAF kwa ujamaa kabisa kama hivi! Sijui hii tabia ya kutaka mashangingi wabunge wa siku hizi wameitoa wapi!

View attachment 61234

Wabunge wa enzi za Mwalimu walikuwa wanawawakilisha watanzania, sio hawa wa sasa wanawakilisha familia zao na maslahi binafsi.

Wabubge wa enzi za Mwalimu walikuwa wanaitwa Ndugu, na spika alikuwa Ndugu Spika, sio wa sasa wanaitwa waheshimiwa.

Wabunge wa enzi za mwalimu walikuwa hawakai Dar es Salaam, bali walilazimishwa kisheria kuishi majimboni mwao, na walikuwa wanakuja Dae es Salaam tu wakati wa vikao vya Bunge ama kama kuna sababu zingine muhimu zilizokuwa zinawataka wawepo Dar mfano vikao vya kamati mbalimbali n.k. Wabunge wale tu waliokuwa wamechaguliwa kuwa mawaziri ndiyo waliokuwa wanatakiwa wabaki Dar es Salaam. Na siku waziri akitolewa kwenye wadhifa wa uwaziri na kubakia mbunge, basi safari ya kurudi jimboni ilikuwa imeanza. Kwa namna hii wabunge walikuwa karibu sana na watu wao, hawakuwa wamejilimbikizia mali, wakati wananchi wao majimboni walikuwa maskini. Kufanya hivyo ilikuwa ni kujimaliza kisiasa.

Wabunge wa sasa hawataki kukumbushwa historia hii kwani inawasuta!
 
Enzi za mwalimu hakukuwa na mashangingi sijui macruza..enzi hizo ilikuwa mnapanda leyland DAF kwa ujamaa kabisa kama hivi! Sijui hii tabia ya kutaka mashangingi wabunge wa siku hizi wameitoa wapi!

View attachment 61234

Maisha yanabadirika ule ni mkopo na unarudishwaa..kwa hiyo sio lazima ununue gari..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Prado v8,,vogue range rover sports,evoque,.mercedes new model,.nisaan murano,,cheza na mashrobaro wa bunge,,?
 
Nazikumbuka aina hizi za layland DAF, CD,EMBASY nyingine nimesahau.
 
Hawa Masharaboro watakufa ukiwapandisha Layland!!!wako kimasilahi binafsi zaidi,!!!
 
Ni kumbukumbu nzuri kwa vizazi vijavyo ili kuwahukumu wabunge wa sasa.
 
Huo ulikuwa ni ujinga na unyanyasaji. Baada ya miaka 24 ya kuongoza kwake (Mtikila anasema 41) Kawawacha watu maskini wakutupwa kwa kuwa tu alishindwa kuongoza.
 
Haiwezekani kiongozi wa nchi akaendekeza masuala ya dini na kabila lakini pia haiwezekani kiongozi wa nchi akapuuzia masuala ya dini na kabila..!J.K.Nyerere
 
Back
Top Bottom