Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Superman, Feb 21, 2010.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Je; kwa mtazamo tu, dressing code ya Wanasiasa Yetu inatoa tafsiri yoyote katika life style zao na walivyonavyo au haina uhusiano waowote?

  Mwalimu je?

  [​IMG]

  Du! Hata dalili ya kitambi hakuwa nayo mpaka anatoweka! Je kuna aliyepata kuona mwanasiasa wa TZ katika style inayofanana na hii bila kujali wakati?
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  tunaenda na wakati!
   
 3. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haya ni matokeo ya AZIMIO LA ZANZIBAR. Nyerere alikuwa ana serve AZIMIO LA ARUSHA ni hapo tofauti ilipo.
   
 4. M

  MaMkwe JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2010
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kitambi ni dalili ya maradhi pamoja na yale yanayotokana ama na ulaji mbovu ama uvivu. Ukimwona mwenye kitambi muhurumie, mgonjwa huyo.
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Du! Hata dalili ya kitambi hakuwa nayo mpaka anatoweka! Je kuna aliyepata kuona mwanasiasa wa TZ katika style inayofanana na hii bila kujali wakati?


  Mkuu umeona swali langu penye tezt ya bluu?.
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Du! Kumbe maazimio haya yalikuja na dressing code?
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Mkuu, iweje basi wanasiasa wetu wengi wa sasa wanavyo?
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Naona una utani na mkapa!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hii ni kielelezo halisi cha yote ambayo huyu jamaa amekuwa aki'preach maisha yake yote!
  Mkuu inaonyesha picha hii umeihifadhi nyumbani mahala salama sana!
  Viongozi wetu wa sasa vitambi ka nyumba, hakuna maadili, hakuna utaratibu wa ulaji chakula!..

  nyama za mbuzi pale Dom-lete
  bia za kila aina---lete
  Dry drinks------lete
  mataptap/chimpumu---lete (hasa wakati wa kuomba kura)
  viswange--lete
  kongoro---lete

  Huh!....will these guys survive
   
 10. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani PJ mambo gani hayo kutaja makongoro saa hizi? Yaani kati ya nyama tamu dunia hii ni makongoro, yakifuatiwa kwa karibu sana na ulimi wa ng'ombe wa kuchemsha, halafu mkia.

  OK, now back to the issue at hand.......
   
 11. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,550
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Mh Zitto Kabwe?The only differences ni urais na ofcourse hatuwezi kuigonere time coz back the there was no Hummer2.

  Kuhusu dressing code na life stlye zao hapo we can argue....Sometimes its true and sometimes not, tuliyaona ya both Kaunda and Nyerere, same style but guess what, mmoja was a fisadi.
   
 12. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jamaa ana mustach kama wa hitler
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  PJ picha hii ni nimeitoa hapa: http://mawio-shineshine.blogspot.com/2009_12_01_archive.html

  Inaelekea hapa ndiyo alitoa ile hotuba yenye kipande hiki . . .

  ...."Kiongozi anayetufaa Tanzania , ni yule anayejua kuwa nchi yetu ni masikini na watu wake ni masikini. Na ukimwangalia usoni ...uone anaguswa na umasikini wetu. Vinginevyo hatufai...." J.K.Nyerere.

  Halafu ikaambatanishwa na picha hii:

  [​IMG]


   
 14. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  nimecheka sana hii,wenyewe wakikusikia wataku JERRY MURO shauri yako
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Feb 21, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 16. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Unatarajia nini wakati baada ya kila nyumba mbili ya tatu ni baa au kilabu cha pombe?

  Sasa hivi mabaa yamefika Tegeta na kwenda mbele usipate shida, fedha unayopata katumie kwa Serengeti, chui, Simba, Nyoka..... na kitambi hichoooo kitakufurahia![​IMG]
   
 17. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 818
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Zamani Tanganyika tulikua na utamaduni ulio changanyika na wa kiingereza, ambako kunenepa na kuwa na kitambi haikuzingatiwa kama ni kitu cha kupendeza , baadae TZ ikabadilika kutokana nakufungiwa kuto weza kujua nini nje ya nchi kinfanyika ,tukaanza kua n utamaduni weetu na kuanza watu kunenepeana na kuvaa kaunda suti huku mavitambi kama mimba.
   
 18. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #18
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280


  Kumbe Nyerere naye alikuwa anajua kuendesha basikeli kama jamaa huyu hapa chini?  [​IMG]
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Feb 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  So what are you trying to say Kichuguu?
   
 20. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mpwa Julius,

  Its very simple tu ni kuwa viongozi weyu waendane na hali ya uchumi wetu ulivyo na sio wawe tofauti na hali yetu ya uchumi twaonekana ni maskini huku kumbe tuna magap makubwa sana kati ya class ya 1 na watu wa class ya 2 na class ya 3 na ya 4 na zaidi.

  nadhani ndiyo anavyo maananisha.

  Mfano mzuri kwa Kagame huko Rwanda mawziri wanvyokuwa treated hakuna kujiweka daraja la juu wakati nchi yenu ni maskini ati waziri wataka kuwa na Vogue!! kwa kagame hiyo hakuna. utapata kitu kwa uwezo wako na sio kwa ku hinder amambo hapa, sasa TZ ndio twaongoza mfano jumba la Gavanor Ndullu
   
Loading...