kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,257
- 13,265
Yeah huu ndio mkebe wa enzi zetu.
ukiwa na hili unaonekana wakishua.
wazazi wenyewe ndo mnawafanyia watoto shopping, unamwambia arodheshe mahitaji yake yote then mwisho wa siku unaenda mwenyewe dukani na kumletea mahitaji yake...........so hayo mengine atayajuaje...............na vitabu wewe mzazi unamtafutia tena wazazi wengine wana misemo kama mimi nimesoma kwa shida sitaki na mtoto wangu apate shida so ni mfumo tu uliopo sasa.KOFA na BOFA, vyote bado vipo madukani. Tembelea Tahfif Stores utapata moja. Enzi hizo mambo ya Elimu Supplies ndani ya IPS Building.
Mitoto yetu ya siku hizi bure kabisa, haijui maktaba wala Dar es Salaam Bookshop. Lkn hata hivyo na serikali nayo zero, pale Dar Bookshop siku hizi utakuta Atlas 4 na Biblia 3 za Poboporian na watu wanuza sura. Vitabu vya watoto hakuna, na wazazi hatuoni kuwa muda wanaosoma magazeti ya Shigongo walitakiwa kusoma hadithi za umri wao
Naikumbuka zamani, naitamani..
Tabia hizi mmekuwanazo mpaka kwenye kuibarasilimali zetu, nyambafuuuuu. Wizi ndio mmeona sifa kumbe ni ujinga
ukiwa na hili unaonekana wakishua.
Asante. Hii ndiyo tuliyotumia enzi zetu. Umenikumbusha mbali sana sana.
Na kwa wale waliofanya mahesabu Form 5 and 6 sijui kama mnakumbuka ile calculator iliyokuwa inaitwa "slide rule". Bila hiyo mtihani ulikuwa umefeli.