The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,551
- 20,346
Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe.
Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje?
Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea utavuna mabua.