Tujikumbushe ILBORU

Tujikumbushe ILBORU

Bino - Headmaster Mushi
Bino Road - Barabara ya kwenda mjini ambayo bino alikuwa anaipita sana
Mzulu - Second Master jina halisi Medukenya





Corrections:
SUMU=Uji
Mtego=Mademu
Vp upper Pitch?
 
Hapo karibu na uwanja wa basket ilikuwa ni nyumbani kwa Bino (Headmaster Mushi) kama sijakosea.



n1246250343_30243946_2172.jpg


n1246250343_30239299_7763.jpg


n1246250343_30239298_7390.jpg
 
Ha ha haaaa..

KUBUNDI - Kusoma/kukamua
na wakati wetu huu ugonjwa wa kusoma sana ndo ulikuwa unaitwa ILBORIASIS BUNDIATA bana,,.lol

MAMA SHIMO - Ticha mmoja mrembo wa biology alikuwa anasaidia sana kuwapunguza vijana 'munkari' na mapozi yake ya ukweli,,.

SICK Bay - Kijumba flani ivi cha wagonjwa. Yani nashukuru niliondoka bila kuingia humu kabisa.

MAMA Huruma - Mama muuza samaki ambaye ticha mgaya (SAW) alikuwa anamsalandia bila mafanikio,,.

Kwa felister - Canteen ya karibu na shule ambapo watu walikuwa wanaenda kupiga wali mara moja moja inapowezekana..kama pocket cash bado ipo

dah!..nimeikosa hii shule...loong time!!
 
Shule yangu hiyo nilipiga hapo ilboru mwaka 2000-2002 Advance Level,
Headmaster alikua kitemango,Nawakumbuka jamaa tuliomaliza Nao kina Aman Jackson,Amin Sheikh,Mwombeki fabian na kuna dogo alikua yupo nondo sana alipiga 7 olevo(Mwaka 2000 alikua anakaa kibo) akaenda Canada nshamsahau jina lake
 
Morani kumbe na wewe ni Ilboru? Mie nilimaliza mwaka 1989 pale Arusha Tech na akina Method Mogella. Nakumbuka miaka hiyo waliletwa watoto wa ma Diplomat na wakaja na nywele za ajabu (cut style). Ilboru wakazifunga timu zote za shule ya Secondary pale Arusha na wakaamua kujikakamua kuja kucheza na sisi. Wakachukua goli zao nzuri tu. Sisi tulikuwa na marehemu Mogella na marehemu Sonda.
Hivi huyu kijana aitwaye Killer, ni kweli alirusha mtu dirishani? Jamaa zangu waliotoka Tanga School walinipa hiyo story. Alikuwa akija watembelea pale ATC siku za weekend na hasa Ilboru walikuwa wanakuja wengi sana kuangalia VIDEO siku ya IJUMAA. Kiingilio Shillingi 5 sijui? Unawakuta akina Mhagama wamekaa mlangoni. Mlivyowatilia ngumu akina Bob Venny na Mwanza kuserebuka kwenye Graduation ya form 6, ukaanza ugomvi. Nakumbuka Ilboru wakawa hawaruhusiwi kuingia kuangalia Video. Utoto bwana??
Nilikuja siku moja hapo Ilboru. Jamaa yangu alikuwa na ndugu yake aitwaye John (Mnyamwezi wa Sikonge.) Huyu alikuwa akiimba kwaya kwa Mchungaji Mtangoo pale kanisa la Anglican. Huyu Mzee nimepata habari kawa Mzee na karudi kwao Dodoma. Pia alikuwepo Askofu Alpha na gari lake Alpha Romeo.
Kwa wale waliopo sasa, kuna kijana mmoja mtoto wa mshikaji wangu anaitwa Chagulla (Nusu Mzungu) ameshamaliza? Alikuwa akijisifu kuwa ni mchezaji mzuri sana wa mpira. Namfahamu huyu dogo tangu akiwa mdogo sanaa. Baba yake husema MAJAMBAZI YANGU. Kijana Chagulla kama umo ndani basi tuwasiliane, maana siku nyingi ati. Nakumbuka mwaka huu mwanzoni tulivyoenda kuangalia ile film ya 3D huku tumevaa miwani...🙂
Hiyo njia naikumbuka sana. Inaanzia pale Mianzini kuelekea Ilboru. Hapo unawapita akina Mama yeyo na Maharage yao, Ndizi na UGOLO.....🙂


Mkuu SIKONGE, mimi nimemaliza pale TCA 1990, hivyo nilikuwa nyuma yenu. Nilitokea Mtwara Tech. Vipi hivi kuna member wengine wa Arusha humu Unaowafahamu?
 
Wakuu mliopitia ILLBORU ,kuna jamaa yangu alimaliza hapo A level 1989,alikuwa anaitwa SAAD MOHAMED pia alikuwa mmoja wa viongozi
wa wanaffunzi,nipeni taarifa zake alipo maana tumepotezana tangu alipomaliza.
 
Ni kweli mlikuwa mnalipiwa disko na Elisante?
 
Na pia tulikuwa tunapata msaada wa cameroon. Semeni ukweli vijana
 
those are grate days!!!mnamkumbuka yasin jumanne??jamaa alikuwa naitwa baba kite jina la mkuu wa shule,yani zilikuwa zinawaka sana na mkuu,halafu kulikuwa na ticha mmoja anaitwa amanda,watu walimpa jina hilo kwa vile alikuwa mrembo,hahahahahahaha mnawakumbuka babu mzee seti na mzee loglog,hahahahaha yani walipewa majina ya hesabu hawa wazee na walikuwa watu muhimu sana,mfanao mzee lohlog alikuwa ndio mzee wa kuzibua system ya uchafu ikizidai....hahahahah mnaosema kuwa tulikuwa tunapewa pepa mnajidanganya,pale ilikuwa ni mwendo wa MSULI tu,yani majitu yalikuwa BUNDI,ile mbaya na watu walikuwa wanapiga wani za kufa mtu.jamani mnamkumbuka yule dada wa dukani alikuwa naitwa anna??hahhahahah yani kila mtu alikuwa anamuwinda."shule yangu iliboru inasifika sana,kujitegemea kwake inasifika sana,kwa nidahmu na majengo inasifika sana,shule yangu nakupenda"wimbo wa shule huo ilikuwa,hahahahahahaha
 
Wadau wa benjamin w. Mkapa high school mpoooo..
2001-2007
 
Back
Top Bottom