Tujikumbushe ILBORU

Tujikumbushe ILBORU

wakuu nimewakumbuka Sana ndugu zangu tuliomaliza ilboru boys form four 2006,nimemis umenyeni,kitei, dah kayamba langu, Kuoga mtoni, R.I.P chief, Mgaya, dah felista canteen hatar
 
wakuu nimewakumbuka Sana ndugu zangu tuliomaliza ilboru boys form four 2006,nimemis umenyeni,kitei, dah kayamba langu, Kuoga mtoni, R.I.P chief, Mgaya, dah felista canteen hatar
Mwaka 2006 hii ilikuwa special school??
 
wazee wa Meru, oldonyo, kibo, maw enz, rungwe mpo? Sisahau nilipewa Suspension na chief/Lusujak nikaenda kumwita dereva tax akawa baba yangu na ubabe wote wa chief nilimuingiza king, enz za kiteMango hizo
 
Du
Wapi mama mpishi,babu mapengo,mzee wa kutoa ofa za pombe ankali....uncle..jooooy..john,ukiwa kiongozi makande na utumbo atakujazia lakini lazima uwe nani ...wa..ke.[/QUOTE du umemkumbuka uncle John mpish mkuu alikuwa na kashfa hatar
 
Obrey ngaleson , brian ovin, Desmond, onesmo, James Lufulenge, alocye Godfrey, mangi, Reagan chalks, hatar nimewakumbuka Sana class of 2006
 
Obrey ngaleson , brian ovin, Desmond, onesmo, James Lufulenge, alocye Godfrey, mangi, Reagan chalks, hatar nimewakumbuka Sana class of 2006
Dah mkuu wewe ni wa 2006?...unaitwa nani ndugu?
 
Omari mtaita Shabani form 4c na Akina Rajabu mapunda,
Rajab Mapunda namsoma, ila wewe sijakufahamu au nunamaanisha Omar George? ulikua unakaa Oldonyo form 3, kisha ukaenda rungwe?
 
Kuna m'ilboru kweli alishawahi kugundua kitu kikaleta tija katika jamii, kama yupo aweke hapa, kama hayupo basi mnieleleze kipaji maalum maanaake nini? Ni uwezo wa kukariri tu au kuna LA ziada?
 
Rajab Mapunda namsoma, ila wewe sijakufahamu au nunamaanisha Omar George? ulikua unakaa Oldonyo form 3, kisha ukaenda rungwe?
yah nilikaa rungwe na Aminiel Kabula, edward n solo,yah Omari George
 
Mimi nilikaa kibo pale halafu baadae hanang na akina joseph tungaraza, heaven kilauwa aka tall, seraphine barikane etc
 
Kuna m'ilboru kweli alishawahi kugundua kitu kikaleta tija katika jamii, kama yupo aweke hapa, kama hayupo basi mnieleleze kipaji maalum maanaake nini? Ni uwezo wa kukariri tu au kuna LA ziada?
Were umesoma wapi mkuu?
 
MTEGO= kideo cha Shule
KATARA= mtu ambaye alikuwa na kichwa kikali, anafananishwa na lile gari la shule la bluu
KWA MAMA BENII= kibanda ambacho baadhi ya member wanakula fegi
PICHI= uwanja wa mpira, kule kilimani karibu na Nyumba ya headmaster.
ILBORIASIS MSULIATA= scientific name ya mwana ilboru
Ilboriasis msuliata
 
Duuh nimekumbuka zamani kidogo.

Elboriasiss bundiata - hii ilikuwa scientific name ya wana ilboru ( au ILBOYS) siunajua mabundi hawalali.

Munakumbuka Ile njia ya Midizini waalimu wote waliiogopa isipokuwa CHIEF pekeyake na akikukamata umekwisha. Lakini wenginie tulimjua mpenda sifa ukimsifia anakuacha mf. Duuh Mwalimu wewe noma yaani umenikamata mimi sijawahi kukamatwa anakuachia uondoke
From elboriasis bundiata to elboriasis msuliata...very funny kwa sio tuliosoma mjini kisutu girls tumekosa mengi!
 
Remember this, anyone?
 
Attachments

  • IMG_20180117_234913.jpg
    IMG_20180117_234913.jpg
    18.9 KB · Views: 61
Back
Top Bottom