Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,271
- 108,264
Kaka Baba Kite ilikua ni kifupisho cha Kitenge na wala haina uhusiano na Kitemango.those are grate days!!!mnamkumbuka yasin jumanne??jamaa alikuwa naitwa baba kite jina la mkuu wa shule,yani zilikuwa zinawaka sana na mkuu,halafu kulikuwa na ticha mmoja anaitwa amanda,watu walimpa jina hilo kwa vile alikuwa mrembo,hahahahahahaha mnawakumbuka babu mzee seti na mzee loglog,hahahahaha yani walipewa majina ya hesabu hawa wazee na walikuwa watu muhimu sana,mfanao mzee lohlog alikuwa ndio mzee wa kuzibua system ya uchafu ikizidai....hahahahah mnaosema kuwa tulikuwa tunapewa pepa mnajidanganya,pale ilikuwa ni mwendo wa MSULI tu,yani majitu yalikuwa BUNDI,ile mbaya na watu walikuwa wanapiga wani za kufa mtu.jamani mnamkumbuka yule dada wa dukani alikuwa naitwa anna??hahhahahah yani kila mtu alikuwa anamuwinda."shule yangu iliboru inasifika sana,kujitegemea kwake inasifika sana,kwa nidahmu na majengo inasifika sana,shule yangu nakupenda"wimbo wa shule huo ilikuwa,hahahahahahaha
Halafu jina la Logilogi lilitokana n mzee kuzibua magogo the english translation ya gogo ni log hapo ndipo jina lilipoibukia.
Hahaha umemkumbuka hadi Anna khaa,kulikua ni kiongozi mmoja anaitwa Jumanne Mrisho "Top Four" jamaa alichemka form six kwa sababu ya mfadhaiko kwa Anna...Kuna siku jamaa alikwibaga dola kadhaa za mshikaji wa form six ili amuhonge Anna.
Bingwa wa kuanzisha wimbo wa skul alikua jamaa mmoja anaitwa Marwa chamber yake.ilikua pale ofisi ya makwanja na majembe