mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 479
Hapo mbele kulikuwa uwanja wa paredi,form 1998 siku moja kabla ya mtihani wa mwisho tulipewa adhabu ya kulima hapo na ilikuwa pagumu sana,duu naona pamekuwa bustani nzuri
Kipindi chetu mtego ni tvCorrections:
SUMU=Uji
Mtego=Mademu
Vp upper Pitch?
Where is mkandawire?Pugu boys wazee wa fungus!maana mkandawile alikuwa anawaita fungusboy!
Hivi mkandawile yupo wapi?