Daaaaah mmenikumbusha zamani jama..lol
Hii thread kidogo initoe chozi,..imenikumbusha sehemu kubwa sana ya maisha yangu..I spent my SIX years at Ilboru..
My class was the second since the school was named "special school", back in 1994, Form one, Head master akiwa Mtui, tukiwa tunasikia tu habar za Bino na biti zake,..1994 tukiwa bado "nguruwe" tukapigwa na boonge la kunji, baada ya "sumu", "chui", na harage la "special for pigs" lol lilikuwa linateleza mbaya..tukapiga kunji,..that night umeme ukakatika,..ilikuwa soo, so organized, was scary for "nguruwe" ila a moment that will never be forgotten, hapo ndipo nilijua ushirikiano wa wana-ilboru. FFU wakaja ku-rescue familia ya Headmaster, hapo gari (pick up nyekundu) ishaumizwa vibaya, ilisukumwa hadi "upper pitch" lengo lilikuwa kulipeleka "mto tololo".. kesho yake na siku zilizofata zilikuwa za machungu, tulilala kwa hofu, tulikaa juani mchana mzima, some fainted, mwisho, ofisi ya Mtui ikachomwa moto mlangoni,..all ziliisha kwa watu wanaosadikiwa ni viongozi kusimamishwa masomo,..ambao hata hivyo kwa ushirikiano na waliobaki walirejeshwa in few days...this is what i will never forget mazee..
Form 2-4 was amazing, observed all the success tena dhidi ya mahasimu Wazumbe..some were our best friends, ila ndo hivyo tena...Discos za Weru weru, Ashira, Kibosho,..magari yakiwa "fresh ya shamba", na mabasi mengine makali..life was sooo good by then bana..
Akaja Mr. Masaki, naye akaondoka..akaja Mr. Kitemango naye akaondoka...Losujaki ole ngavuti aka chief (mzee wa sita), filimbi za Machakura (akiwa zamu), maandazi ya mama chacha,..mapambio na graduations za Ukwata, sherehe za TAMSA, minuso ya TYCS,..kuzamia Arusha Tech,..mitego ya ijumaa na jumamosi (muvi ikiboa toaaaa toaaaa),..nakumbuka pia jinsi harufu ilivyokuwa taamu siku za disco..kuzamia pia hadi discos za umbwe, na kuwanyang'anya mabinti zao..by then special school jina kubwaaaa...mnakumbuka soo la Ashira kuletwa bila kibalii?..watu walikuwaga kama mafia..
Nakumbuka mechi za Enaboishu, Makumira, Ekenywa,..mabinti walikuwa warembo sana wa Makumira, na Enabo,..Nakumbuka fujo iliyosababisha kupoteza maisha ya mtoto mpita njia when Ilborians fought Ekenywa..tulikuwa wanted umenyeni...nakumbuka walipotekwa washkaji umenyeni usiku, na HP kuorganize wadau kwenda na ma-fyekeo kuwakomboa,..vita ya usiku na morani wa kimasai, japo tulichapwa mbaya,..ila that was solidarity..nakumbuka pia Radio Ilboru FM, burudani from our own creativity,..redio ambayo ilitengenezwa from scratch na wanafunzi..nakumbuka pia "bull dance".., kukamua ng'ombe wa shule,..kuhudumia nguruwe,..kuuza maziwa, kuchunga ng'ombe..form one...siku za kuchinja nguruwe was so sad kwa wenzetu waislamu,..ila walikuwa very tolerating...nakumbuka jinsi watu walivyokuwa "wakitoboa ozone-aka kusoma hadi asbh",..ama "kuwasha screen". Namkumbuka "Bwa Shee, Loning'o, mama Tonii na raia wengine waliorahisisha maisha kwa wanafunzi
Form 4 tukakaba tena wazumbe, piga bao la nguvu..wachache tukarejea..F5 tukakutana na akina ZeMarcopolo..(unanikumbuka kistoni??...Shalla B, single, stain, na wengine..tukauteka uongozi wa shule with solidarity), Form 6 maisha room 2 Kilimanjaro,..mechi za madarasa, mabweni, na hata Kilimanjaro bonanza ambayo ilizaliwa wakati tukimsaidia mwenzetu adhabu ya Shembilu,...Room 3 wakashinda zawadi ya saa, room 2 tukaiiba,..ilikuwa fun,...movie ya kimafia..japo nasi tulizidiwa kete na mjanja mwingine...kaka zetu walikuwa akina Msando, MG et al..fun and helpful
Life was superb, japo challengine kutokana na ukosefu wa walimu, ila tulifundishana, tulielekezana, tulisoma pamoja, tulikula pamoja, tulicheza mpira, basket, na hata kuoga chini ya daraja mto tololo..all were fun..mwisho wa siku darasa zima lilifaulu, na kuipiga tena mzumbe bao 2000. PCB wote MUCHS, wachache SUA,..wengine Med School nje ya nchi,..special scholarships,..PCM wote UDSM wacheche nje ya nchi...HGL wote law school..that was the unity..discipline...na ucha mungu..watu walikuwa wanapiga sala bana...
That is my Ilboru I lived for 6 good and memorable years
Niliishi Meru, Hanang, Kibo, Kilimanjaro room 2. Nilitamani sana pia niishi Rungwe, maana lilikuwa bweni safi sana..nilipata bahati ya kukutana na marafiki wazuri ambao hadi sasa they are like my brothers...thanks to the communal life ya Ilboru,..a place i could never regret to live for so long
Ab-teachers, ZeMarcopolo,..asanteni sana kwa memories hizi...lol
Stun