PreGE2025 Tujikumbushe: Hivi CHAUMMA kilifanikiwa kuzunguka nchi nzima kwa siku 16?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,402
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana huko alikokuwa alifanya sana kazi
Ikaja chopa nyekundu nduu..baada ya excuse kibao kuhusu kuchelewa kufika..(kumbe ilikuwa kwa fundi maiko😂) ikapiga kazi siku saba kasoro.. IKATAGA! tena yai viza

Hapo ilipitagia ikashikwa na ugonjwa wa matende.. Ikashindwa kuruka hata futi moja.. Ikashikwa na kifaduro
Ikashikwa na TB
Ikashikwa na tetekuwanga
Ikashikwa na mafua ya ndege
Za ndaani kabisa zinasema.. Kumbe chopa ilikuwa na upungufu wa kinga kwenye mashine
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia chopa likiwa juu ya fuso.. Self created brake down

Sijui nani aliingizwa cha city..! Mfadhili au dalali wa chopa?
 
Hawana lolote wahuni tu hao, Cha ajabu bado wanaisema Chadema ambayo haishiriki uchaguzi aha ha ha 😂 😆
 
Mada ingekuwa namna ya kuzuia uchaguzi, chauma ni chama cha wengine ambao kama watafel au faul bado hawapo au fungamani na kuzuia uchaguzi. Kiufupi sio washirika wa CDM, kuwajadili ni kuwapa coverage tu
 
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana huko alikokuwa alifanya sana kazi
Ikaja chopa nyekundu nduu..baada ya excuse kibao kuhusu kuchelewa kufika..(kumbe ilikuwa kwa fundi maiko😂) ikapiga kazi siku saba kasoro.. IKATAGA! tena yai viza

Hapo ilipitagia ikashikwa na ugonjwa wa matende.. Ikashindwa kuruka hata futi moja.. Ikashikwa na kifaduro
Ikashikwa na TB
Ikashikwa na tetekuwanga
Ikashikwa na mafua ya ndege
Za ndaani kabisa zinasema.. Kumbe chopa ilikuwa na upungufu wa kinga kwenye mashine
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia chopa likiwa juu ya fuso.. Self created brake down

Sijui nani aliingizwa cha city..! Mfadhili au dalali wa chopa?
CHAUMMA walikata tamaa baada ya kutua kaskazini hasa Arusha na Kilimanjaro. Huku walitegemea wangeungwa mkono sana maana asilimia 90 ya wahamiaji wao wanatoka huu ukanda.

Walichokumbana nacho na hasa Kilimanjaro aisee hata wewe ungesalimu tu amri. Mrema pale kijijini kwao akaishia kuhutubia miti kweli!

Kilichowauma wahamiaji ni kuwa walipofika nyumbani kwa mzee Rungwe CHAUMMA kilipata watu wengi kwenye mkutano. Wahamiaji wakaonekana hawana jipya kuwagharamia safari na mikutano.
 
Wanajipanga, waacheni CHAUMMA jamani. Mwaka huu mtakiona kivumbi cha ubwabwa, Ccm itakipata freshi kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Nyuma kuna Devo, katkati Mwalimu Pembeni kulia Kigaboy, kushoto unamkuta Mwita mbele kwenye mashambulizi yupo mzee mzima Jony Jony Mreeeem, aseee mbungi litapigwa mwaka huu ccm wanalo.
 
Wahuni sana hawa vifaranga wa bata wameshampiga kitu cha stroke mzee wa ubwabwa wanataka wachukue chama mazima.
 
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana huko alikokuwa alifanya sana kazi
Ikaja chopa nyekundu nduu..baada ya excuse kibao kuhusu kuchelewa kufika..(kumbe ilikuwa kwa fundi maiko😂) ikapiga kazi siku saba kasoro.. IKATAGA! tena yai viza

Hapo ilipitagia ikashikwa na ugonjwa wa matende.. Ikashindwa kuruka hata futi moja.. Ikashikwa na kifaduro
Ikashikwa na TB
Ikashikwa na tetekuwanga
Ikashikwa na mafua ya ndege
Za ndaani kabisa zinasema.. Kumbe chopa ilikuwa na upungufu wa kinga kwenye mashine
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia chopa likiwa juu ya fuso.. Self created brake down

Sijui nani aliingizwa cha city..! Mfadhili au dalali wa chopa?
CCM wakiangalia mikutano ya Chauma watakua wanajisemea tu, "Aisee kwenye hili tulichemka" 🤣🤣🤣
 
CHAUMMA walikata tamaa baada ya kutua kaskazini hasa Arusha na Kilimanjaro. Huku walitegemea wangeungwa mkono sana maana asilimia 90 ya wahamiaji wao wanatoka huu ukanda.

Walichokumbana nacho na hasa Kilimanjaro aisee hata wewe ungesalimu tu amri. Mrema pale kijijini kwao akaishia kuhutubia miti kweli!

Kilichowauma wahamiaji ni kuwa walipofika nyumbani kwa mzee Rungwe CHAUMMA kilipata watu wengi kwenye mkutano. Wahamiaji wakaonekana hawana jipya kuwagharamia safari na mikutano.
Hata Catherine Ruge alipofika kijijini kwao huko Serengeti alizomewa hakuamini macho yake, hawa wamejitafutia fedheha tu, na mbaya wameikandia sana Chadema kiasi hata kurudi wanashindwa ndiyo maana siku zote tunaaswa kuwa na akiba ya maneno sasa hawa wahuni walijimaliza kabisa tena mapemaaa.
 
Wanajipanga, waacheni CHAUMMA jamani. Mwaka huu mtakiona kivumbi cha ubwabwa, Ccm itakipata freshi kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Nyuma kuna Devo, katkati Mwalimu Pembeni kulia Kigaboy, kushoto unamkuta Mwita mbele kwenye mashambulizi yupo mzee mzima Jony Jony Mreeeem, aseee mbungi litapigwa mwaka huu ccm wanalo.
Hahahaha😂😂😂😂😂😂
 
Kuna kama wawili watatu wamevuta mpunga mrefu na ahadi za viti maalum,Sasa wanaona fedheha imewafika na bado chama kinawataka waendelee kutoa pesa.
Nani atoe tena ndo hapo sasa,itabidi wamshawishi mfadhili mkuu atoe mpunga tena wapige.
Ila si wa kuwalaumu maana kukatwa kwenye pension ya ruzuku ghafla si mchezo mjini hapa
 
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana huko alikokuwa alifanya sana kazi
Ikaja chopa nyekundu nduu..baada ya excuse kibao kuhusu kuchelewa kufika..(kumbe ilikuwa kwa fundi maiko😂) ikapiga kazi siku saba kasoro.. IKATAGA! tena yai viza

Hapo ilipitagia ikashikwa na ugonjwa wa matende.. Ikashindwa kuruka hata futi moja.. Ikashikwa na kifaduro
Ikashikwa na TB
Ikashikwa na tetekuwanga
Ikashikwa na mafua ya ndege
Za ndaani kabisa zinasema.. Kumbe chopa ilikuwa na upungufu wa kinga kwenye mashine
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia chopa likiwa juu ya fuso.. Self created brake down

Sijui nani aliingizwa cha city..! Mfadhili au dalali wa chopa?
Walijua zile press walizokua wakifanya na ground kutakua kwepesi hata mtoa hela hawezi kubali ule ujinga wastage of resources and time
 
Attachments

  • 20250603_200753.jpg
    20250603_200753.jpg
    252.2 KB · Views: 11
Kuna kitu kinaitwa karma, watu hupuuzia sana kitu hichi na kuona ni dua la kuku halimpati mwewe! Wale wahuni hawawezi kufanikiwa katika siasa zao kwa sababu walifanya usaliti. Waliacha wenzao katika hali ngumu na misukosuko mingi wao wakakimbilia chauma kinafiki wakidhani huko watateka umma wa wananchi na kuamshaamsha shangwe ndani ya chaume waungwe mkono na wananchi. Matokeo yake wakajikuta wanapuuzwa, hakuna anayewaunga mkono, ndio kwanza wamepooza kisiasa kama vile hawapo siasani. Bora wangeenda ccm kabisa, huko wangeweza kutunukiwa majimbo ya kugombea au vyeo vingine au wangekimbilia ACT wazalendo wakafanye blablaa za kisiasa huenda nako wangeambulia majimbo mawili matatu kama shukrani ya kufanya unafiki na hujuma kwa chadema
 
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana huko alikokuwa alifanya sana kazi
Ikaja chopa nyekundu nduu..baada ya excuse kibao kuhusu kuchelewa kufika..(kumbe ilikuwa kwa fundi maiko😂) ikapiga kazi siku saba kasoro.. IKATAGA! tena yai viza

Hapo ilipitagia ikashikwa na ugonjwa wa matende.. Ikashindwa kuruka hata futi moja.. Ikashikwa na kifaduro
Ikashikwa na TB
Ikashikwa na tetekuwanga
Ikashikwa na mafua ya ndege
Za ndaani kabisa zinasema.. Kumbe chopa ilikuwa na upungufu wa kinga kwenye mashine
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia chopa likiwa juu ya fuso.. Self created brake down

Sijui nani aliingizwa cha city..! Mfadhili au dalali wa chopa?
hahahahahaa, watu wa pwani kwa vijembe tu hamjambo
 
Kuna kitu kinaitwa karma, watu hupuuzia sana kitu hichi na kuona ni dua la kuku halimpati mwewe! Wale wahuni hawawezi kufanikiwa katika siasa zao kwa sababu walifanya usaliti. Waliacha wenzao katika hali ngumu na misukosuko mingi wao wakakimbilia chauma kinafiki wakidhani huko watateka umma wa wananchi na kuamshaamsha shangwe ndani ya chaume waungwe mkono na wananchi. Matokeo yake wakajikuta wanapuuzwa, hakuna anayewaunga mkono, ndio kwanza wamepooza kisiasa kama vile hawapo siasani. Bora wangeenda ccm kabisa, huko wangeweza kutunukiwa majimbo ya kugombea au vyeo vingine au wangekimbilia ACT wazalendo wakafanye blablaa za kisiasa huenda nako wangeambulia majimbo mawili matatu kama shukrani ya kufanya unafiki na hujuma kwa chadema
Sahivi wamechukia Bunge kusogezwa mbele
 
CHAUMMA walikata tamaa baada ya kutua kaskazini hasa Arusha na Kilimanjaro. Huku walitegemea wangeungwa mkono sana maana asilimia 90 ya wahamiaji wao wanatoka huu ukanda.

Walichokumbana nacho na hasa Kilimanjaro aisee hata wewe ungesalimu tu amri. Mrema pale kijijini kwao akaishia kuhutubia miti kweli!

Kilichowauma wahamiaji ni kuwa walipofika nyumbani kwa mzee Rungwe CHAUMMA kilipata watu wengi kwenye mkutano. Wahamiaji wakaonekana hawana jipya kuwagharamia safari na mikutano.
Na wakikampeini Kwa gari bila ndege kimewalamba😁
 
Back
Top Bottom