Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

Mkifika kwenye projectile and circular motion mnitag
Daa we umenikumbusha mbali sana sana, hio siku nimechelewa darasan ile naingia tu nikaambiwa niandk io mambo nilisahau baada ya kuandka HAH nikaandka HHA nilikula bao mpk nikanesa nikapata wenge nikiwaangalia wanafunz wenzangu naona kama malaika wanapaa paa mpk mwl akanionea huruma tena,

Walimu Mungu anawaona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sisi tuliopiga discreet mathematics hatunaga mpango na kanuni , its all about logic huku.
 
Sijawahi kusikitika kwa kupata sifuri hesabu, mambo ya sin, cos, tan mwalimu ata afundishe vipi sielewi [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56], huwa namuangaliaa [emoji41][emoji41] halafu nacheka tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
halafu unasema hiii hiiii hiiii
 
Hebu mmoja wenu anifanyie hili swali
Tafuta slope ya x intercept na y intercept ya hii equation
f(x) = 5x + 4 ?
at X- intercept, Y=0,
0= 5x +4
-4 = 5x
-4/5 = X

at Y-intercept, X=0
Y= 5(0) +4
y= 0+4
y=4

By the way hakuna kutafuta slope ya interceptions, unachanganya madude,

ni either utafute slope(gradient) au utafute hizo interceptions amvazo line yako ina cross X-Y
 
Eneo la Duara lenye nusu kipenyo =πr²

Eneo la Trapeza = ½(a+b)h

Mzingo wa mchemraba = 6h

Eneo la piramidi = πr²h
Hizi formula na zingine nilikariri nikiwa Shule ya msingi kuna mtu alikuwa amezichapisha hafu anaziuza
 
Back
Top Bottom