Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
tan thita😉SoToCaH
Sijui nimepatia wale wataalam wa sin cos n tan
tan thita😉SoToCaH
Sijui nimepatia wale wataalam wa sin cos n tan
Hahaha ilikuwa hatariUmenikumbusha "Different of Two Squares" a² - b ²
v/s
"Square of Two Differents" (a - b) ²
Ndio ivyo ivyo sijuitan thita😉
hapo pai uneambiwa utumie ipi 22/7 au 3.14
Sio siri silisasa si siri tena!asante sana mkuu
Kuna Quadratic Equation,Hahaha ilikuwa hatari
Eneo la Duara lenye nusu kipenyo =πr²Nusu x kitako x kimo = eneo la ∆
πr square h= volume
Ndio, nataka baba wa wanangu awe kipanga wa mathematics ili wanangu nao wawe vipanga[emoji6]Unamtaka mwana mathematics mkuu
Umenikumbusha mbali sana, ilisaidia sana hii kanuni kwenye mambo hayoSoToCaH
Sijui nimepatia wale wataalam wa sin cos n tan
Confessor nimekubali jina lako, saluteKama una pepa kesho usisahau 4figure,.
Oh yeah😉Confessor nimekubali jina lako, salute
Uliposema four figer umenikumbusha mbali kinyama .Kama una pepa kesho usisahau 4figure,.