Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

mkuu uko deep sana
Nakumbuka kwamba
a2 + b2 umaamisha a^2 + b^2.
Kama formula haiwezi kurahishiswa zaid tunaiandika hivi (a + b)^2 - 2ab au (a - b)^2 + 2ab. ... ni kama ukiulizwa formula ya a2+b2


pia nakumbuka remote sensing formula nilikuwa hatari najikubali

Remote Sensing (hapa ni kwetu wasomi, wa zamani bila scientific calculators, shule ilikuwa tamu)
Kuna fomula na equation mbili
1 - Rrs equation ya Mobley, (1999) ni
Rrs(λ) = Lu(λ) - ρLsky(λ) / Ed(λ)
2 - hii fomula ya Rrs iko katika vitabu vya Dorji vya. (2016 na 2017) ambayo ni
Rrs(λ) = Lu(λ) x ρLsky(λ) / Ed(λ)
yaan nakumbuka watu walivyowahiangaya kwa alama hizi Lu(λ) na ρLsky(λ) walijiuliza hivi zinajumlishwa au zinazidishwa? hii ni kwa sababu.kwenye chapisho la Mobley la 1999 hii ρLsky(λ)hutolewa (-) kutoka Lu(λ), kama inavyoonekana Rrs(λ)= [Lu(λ) - ρLsky(λ) / Ed(λ)]
 
Vipi kuhusu Exponent na Fuction
Exponent Kinyume chake ni Logarithms (log),
Hapo ndo unakutana na Formula kama Log (ab) = Log a + log b,
Ukiambiwa solve without using table haina maana uweke meza pembeni usolvie miguuni,
 
Hakuna somo la kijinga kama hesabu.unaambiwa tafuta thamani ya A.
Sasa Mimi thamani ya A ntaipatia wapi.
 
Back
Top Bottom