Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umri wangu weww wa nini lakini kunichosha tu??? Mqswala ya umr n mambo binafs muone
Fanya swali huko madame
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umri wangu weww wa nini lakini kunichosha tu??? Mqswala ya umr n mambo binafs muone
Tutatoa siriUmri wa Madame S ni miaka 5 pungufu ya umri wa Archduke, miaka 10 ijayo umri wa Madame S utakuwa mara 2 ya umri wa Mwifwa, wakati huo huo umri wa Archduke ni miaka 2 zaidi ya umri wa Mwifwa.
Tafuta umri wa sasa wa Madame S, Archduke na Mwifwa.
Mi bios A mwanzo mwisho sijui kwanini ila ilikua km mchungaji akitoa mistari kwenye bible, easiest subject ktk scienceNilipata B, bios, C kemia, A agiculture. F hesabu, itakuwa ilikuwa sifuri tu bila shaka, [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]umri wangu weww wa nini lakini kunichosha tu??? Mqswala ya umr n mambo binafs muone
Ebu leta jibu tuone kama litakuwa kweliTutatoa siri
umri wangu uko kwenye cheti cha kuzaliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fanya swali huko madame
Summation of progression series.Sn=n/2[2A1+(n-1)d]
Usiniangushe madame, hata kwenye mtihani ungejibu hivyo...[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]umri wangu uko kwenye cheti cha kuzaliwa
Kitambo sana.Summation of progression series.
Kumbe bado naikumbuka
Kuna bracket somewhereQuadratic formula =
X= hasi b plus or minus √bsquare - 4ac
—————————————————————
2a
+-√(bsquare - 4ac)Kuna bracket somewhere