Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

Tujikumbushe formular mbali mbali za hesabu

Uliposema four figer umenikumbusha mbali kinyama .

Enzi hizo tuko sec form 4 bhana mtihani wa moko kwenye pepa ya mathematics.
Kuna jamaa class alikuwa anajifanya anajua sana hesabu mzee sasa kufika swali flani hivi akagonga desk na kuomba four figer ,
Dakika tano nyingi karibia class zima kila mtu four figure pliz,four figure pliz.

Sasa mimi kila nikitazama pepa hakuna swali linalotaka nitumie four figure nikimcheki jamaa yuko bizy kuisoma asee nilipagawa kinyama nikajua nimepewa pepa feki .

Sasa wakati kelele za kudai four figure zikiendelea yule msimamizi akamaindi akauliza swali gani hilo linalosema msovu kwa kutumia four figure class zima wakataja namba let say la 45.

Msimamizi someni vyema hilo swali bwana wewe kumbe lile swali lilikuwa linaendelea upande wa pili na ule upande wengi hawakujua kwamba kuna kipande kimeandika solve without four figure.


Kilichofuata kila mtu anaomba karatasi la kubadilishia mpaka yule bingwa wa mathe.

Nilicheka sanaaaa.
Ha ha haaa hata sisi ilikuwa hivyo kichwa cha mathe kikiomba 4figure basi class zima tunaomba 4figure hata kama hujui tumizi lake,..woiii
 
She has two degrees in math, getting her PhD in Astrophysics. Her tattoo portray.jpg
 
Unamcheka namna hii hiiiiiiii hiiiiiiii alafu pepa lake likija unasolve maswali yote lakini ni buyu tu humo.
Mie nilikuwa najibu maswali ya mwanzo tu yenye kujumlisha na kutoa kisha naacha, muda ukifika naends kukusanya pepa natoka zangu nje.
 
Back
Top Bottom