Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,405
Dah wakuu mmenikumbusha enzi zile nameza kichizi, km miaka ya uhenga iliyopita, afu nilikuwa naona adhabu tu kipindi hiko, sahv sijui ntazitumia wapi
Arithmetic progressionSummation of progression series.
Kumbe bado naikumbuka
Arithmetic progression na zile permutation duh asee maswali magumuArithmetic progression

Physics hiiMU1 +MU2 =MV1 +MV2.
Law of conservation of linear momentum
Wewe jamaa utakuwa umebobea KLF,watu wanashusha formulae wewe unaleta story tenaUliposema four figer umenikumbusha mbali kinyama .
Enzi hizo tuko sec form 4 bhana mtihani wa moko kwenye pepa ya mathematics.
Kuna jamaa class alikuwa anajifanya anajua sana hesabu mzee sasa kufika swali flani hivi akagonga desk na kuomba four figer ,
Dakika tano nyingi karibia class zima kila mtu four figure pliz,four figure pliz.
Sasa mimi kila nikitazama pepa hakuna swali linalotaka nitumie four figure nikimcheki jamaa yuko bizy kuisoma asee nilipagawa kinyama nikajua nimepewa pepa feki .
Sasa wakati kelele za kudai four figure zikiendelea yule msimamizi akamaindi akauliza swali gani hilo linalosema msovu kwa kutumia four figure class zima wakataja namba let say la 45.
Msimamizi someni vyema hilo swali bwana wewe kumbe lile swali lilikuwa linaendelea upande wa pili na ule upande wengi hawakujua kwamba kuna kipande kimeandika solve without four figure.
Kilichofuata kila mtu anaomba karatasi la kubadilishia mpaka yule bingwa wa mathe.
Nilicheka sanaaaa.
ngoja nisubiri miujizaaa....i will go through your posts and comments.... kuona ume restore kweli...au holaaaaaNataka kurestore memory mkuu.
nPr.Arithmetic progression na zile permutation duh asee maswali magumu
Waliohitimu la saba utawaona tu vitu wanavyoviweka hapa.Ndio, nataka baba wa wanangu awe kipanga wa mathematics ili wanangu nao wawe vipanga![]()
inategemea na ugonjwaa..kwa case yakoo....tu assume ni mchafukoo wa tumboo...ko tunakupa masaa 48 ivLakini siyo jambo la haraka si unajua ata mgonjwa akimeza dawa haponi kwa mara moja.