Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Mkuu yo welcome, ila profession yangu sio ticha
sawa sawa !...basi ulikuwa kichwa
Mkuu yo welcome, ila profession yangu sio ticha
Unamcheka namna hii hiiiiiiii hiiiiiiii alafu pepa lake likija unasolve maswali yote lakini ni buyu tu humo.





mkuu umenikenulisha magego
Eneo la Duara lenye nusu kipenyo =πr²
Eneo la Trapeza = ½(a+b)h
Mzingo wa mchemraba = 6h
Eneo la piramidi = πr²h
Wale tuliokuwa tunatega pindi la hisabati,,hapa tunapita kama ivi tuu![]()
Mathe nlikuwa siipendi kiviiile, ila Biology ndo mnyonge wangu,sawa sawa !...basi ulikuwa kichwa
Ukiweka na kavaluu, au kasafari kadhaa unakuwa jiniasSahv hesabu ndo inapanda
mm chemistry jaman...arghhhMathe nlikuwa siipendi kiviiile, ila Biology ndo mnyonge wangu,
wewe ndugu ww si zero IQ sasa hesabu za nn sasaHapa najua wengi mtachemka sana tena sanaa tu.
Tujikumbushe formular (Kanuni) mbali mbali za hesabu iwe za shule ya msingi,sekondary au Advance?
Mimi ninayoikumbuka ni hii tu
a² + b ² = C².
...

Duh kuna yale mabenzene na maorganic chemistry nilikua nayapenda nachora tu km picassomm chemistry jaman...arghhh
😵😵😵😵😵😵😵😵Duh kuna yale mabenzene na maorganic chemistry nilikua nayapenda nachora tu km picasso
Umri wa Madame S ni miaka 5 pungufu ya umri wa Archduke, miaka 10 ijayo umri wa Madame S utakuwa mara 2 ya umri wa Mwifwa, wakati huo huo umri wa Archduke ni miaka 2 zaidi ya umri wa Mwifwa.Nakuona mwalim
Nilipata B, bios, C kemia, A agiculture. F hesabu, itakuwa ilikuwa sifuri tu bila shaka,Mathe nlikuwa siipendi kiviiile, ila Biology ndo mnyonge wangu,



umri wangu weww wa nini lakini kunichosha tu??? Mqswala ya umr n mambo binafs muoneUmri wa Madame S ni miaka 5 pungufu ya umri wa Archduke, miaka 10 ijayo umri wa Madame S utakuwa mara 2 ya umri wa Mwifwa, wakati huo huo umri wa Archduke ni miaka 2 zaidi ya umri wa Mwifwa.
Tafuta umri wa sasa wa Madame S, Archduke na Mwifwa.
Niliyakataa shule ndio yaliokuja kunikuta katika elimu yangu ya nje.Duh kuna yale mabenzene na maorganic chemistry nilikua nayapenda nachora tu km picasso