Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Wamaanisha nini?Waliohitimu la saba utawaona tu vitu wanavyoviweka hapa.

Wamaanisha nini?Waliohitimu la saba utawaona tu vitu wanavyoviweka hapa.

Why virus is termed as animated and unanimated?Mkifikia kwenye 'baolojia' mnitag
Let F(x) be denoted letter "y" in whichHebu mmoja wenu anifanyie hili swali
Tafuta slope ya x intercept na y intercept ya hii equation
f(x) = 5x + 4 ?
mzee kheri ubakii kuwa zero IQ tuuuu...Kwa hiyo nitumie formular ipi mkuu?
sina umri mimi tusichoshane 😀😀😀Umri wa Madame S ni miaka 5 pungufu ya umri wa Archduke, miaka 10 ijayo umri wa Madame S utakuwa mara 2 ya umri wa Mwifwa, wakati huo huo umri wa Archduke ni miaka 2 zaidi ya umri wa Mwifwa.
Tafuta umri wa sasa wa Madame S, Archduke na Mwifwa.
Kekule principle of Benzene ring....Umeniacha kwa mseveni mkuu sijui nitarudi salama.
Na sisi wazee wa What's Constant PH of water(H2O) and blood ? Tunaweka wapi formular zetu na maswali.
Hata Mimi hii nakukuruka nayoHebu mmoja wenu anifanyie hili swali
Tafuta slope ya x intercept na y intercept ya hii equation
f(x) = 5x + 4 ?
Kwenye maneno yote ya kiingereza kwangu ni Lugha gongana achana na mathe ni noumaaaaa.Euler's Formula ndiyo hesabu za kiutu uzima zinapoanzia. Mambo ya Complex numbers katika trig na yhperbolic functions we acha tu. Conshx na Tanhx,Sinhx et al.
Inverse hyperbolic ni balaa tupu hasa kwenye application kwenye intergral na differential Equations hasa kwenye Curves,estimation of areas and volumes of irregular shapes nk. Fourier Series na application katika Telecom Engineering nk
Daa we umenikumbusha mbali sana sana, hio siku nimechelewa darasan ile naingia tu nikaambiwa niandk io mambo nilisahau baada ya kuandka HAH nikaandka HHA nilikula bao mpk nikanesa nikapata wenge nikiwaangalia wanafunz wenzangu naona kama malaika wanapaa paa mpk mwl akanionea huruma tena,SoToCaH
Sijui nimepatia wale wataalam wa sin cos n tan
HahahahaMkifika kwenye projectile and circular motion mnitag
Daa we umenikumbusha mbali sana sana, hio siku nimechelewa darasan ile naingia tu nikaambiwa niandk io mambo nilisahau baada ya kuandka HAH nikaandka HHA nilikula bao mpk nikanesa nikapata wenge nikiwaangalia wanafunz wenzangu naona kama malaika wanapaa paa mpk mwl akanionea huruma tena,
Walimu Mungu anawaona
We ulikuwa unajua kuandika domain na range all real numbersHayo maswali ya F(x) nilikuwa nayaelewaga ticha akiwa class tu kufundisha ila akisepa kila kitu kinaeverpolate.