Tujikumbushe: Ahadi/Vipaumbele vya Rais Magufuli

Tujikumbushe: Ahadi/Vipaumbele vya Rais Magufuli

hiyo itakuwa ni priority yako

Nimepitia orodha ya ahadi zake kama ulivyozipanga. Asilimia 60% ana D na F. Ana C na B chache mno. A pekee aliyo nayo kwenye ahadi zake ni elimu bure mpaka kidato cha 4.
 
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda vya ndani
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo.
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa.

Tunapojadili bajeti bungeni, tujikite kwenye haya. Tunapopingana na hoja za Rais, tukumbuke haya.

[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG][l
Milioni 50 kila kijiji
 
Habari wandugu.

Wakati Ule Tuliambiwa Gesi Ndio Muarobaini Wa Tatizo La Umeme, Tena Tukaambiwa Ipo Ya Kutosha Hadi Kuuza Nje, Sasa Gesi Imezikwa Agenda Ni Stiglers, Tujiulize Tumeshapata Faida Ya Uwekezaji Kwenye Gesi? Kwann Tumebadili Mawazo?Je badae Hawataikana Stiglers Kama Walivyoikana Gesi?

Mpk sasa hatujui tunataka nini na kwa wakati gani na vipaumbele vyetu ni vipi? Tatizo linaanzia hapa.

mr mkiki.
Stiglers ni ujambazi mkubwa anaofanya kichwa nunda same kama bombardier, uwanja wa chato n.k kitu ambacho kimekuja kumuumbua kwa CAG
 
Umoja wa kitaifa haupo tena. Watanzania wamegawanywa makundi kikanda,kichama na kikabila!
 
Wabishi hawatataka kupita humu, ili waendelee kubisha, kulaumu, kulia na visivyojulikana! 😡😡😡
 
Umeandika kilumumba zaidi.Millioni 50 kila kijiji.Kuhamia Dodoma.Mahakama ya mafisadi(ambayo imekuwa white elephant)
 
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda vya ndani
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo.
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa.

Tunapojadili bajeti bungeni, tujikite kwenye haya. Tunapopingana na hoja za Rais, tukumbuke haya.

[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG][l
Umesahau slave trade
 
Mkuu hebu fanya attachment ya Ilani tukuoneshe..
.
mara zote nimekuwa nikiwaasa kumchallange Magufuli kwa kutumia Ilani...huo ndio mkataba kati yake na wananchi na ni lazima atimize.
Ilani ya chama chenu inesemaje kuhusu watoto kike wanaopewa mimba wakiwa shuleni?
 
Mkuu hebu fanya attachment ya Ilani tukuoneshe..
.
mara zote nimekuwa nikiwaasa kumchallange Magufuli kwa kutumia Ilani...huo ndio mkataba kati yake na wananchi na ni lazima atimize.
Ilani yenu inaonesha kila kijiji kitapata million 50 vipi zimetoka?
 
Mtanzania yeyote ambae mpaka sasa anaamini JPM ataifanya Tanzania kuwa ya vwonder na kuwa na uchumi wa kati huyo ni wa kupimwa akili
 
Huyu mzee tumempigania sanaa ila ametugeuka, anawapa mkate wetu wapinzani wetu, kwa matusi na udhalilishaji niliofanyiwa leo hapa sirudi tena Lumumba , sirudi hata kufanya kazi ya chama mitandaoni. Nina vyeti vyagu halali, lakini bado sionekani ninachofanya, nafasi nzuri kama hizi wanapewa wapinzani wetu. Nasema hivii.....Acha niangalie utaratibu wangu mwingine wa Maisha.
Wapo wengi wa aina yako wanaokesha wakipiga kelele humu kwa ahadi za ugali.
Acheni ushabiki maana ni ulevi.
Chagueni elimu , haki na teteeni ukweli kwa nguvu zote.
La sivyo mtaishia kutumiwa na kutupwa kama kondom
 
Usiwe na wasiwasi, kila kitu kina kupangiwa muda wake na kuna yakuangalia ni bora kuliko kukurupuka. Vuta subira, kwa jinsi alivyo na mapenzi makubwa na wananchi atayatekeleza labda itokee kitu kikawa nje ya uwezo wake na hapo ataekezea sababu.

Magufuli 2020
Kwa comment hii,nina uhakika 100% hujausoma uzi!Umeishia kusoma tittle na kujibu!
Kwenye content mleta mada anazungumzia ahadi ya kazi waliyopewa wagombea walioanguka kura za maoni CCM!
Mleta mada kamnukuu maeneo mbali akiwa kwenye kampeni!
 
Huyu mzee tumempigania sanaa ila ametugeuka, anawapa mkate wetu wapinzani wetu, kwa matusi na udhalilishaji niliofanyiwa leo hapa sirudi tena Lumumba , sirudi hata kufanya kazi ya chama mitandaoni. Nina vyeti vyagu halali, lakini bado sionekani ninachofanya, nafasi nzuri kama hizi wanapewa wapinzani wetu. Nasema hivii.....Acha niangalie utaratibu wangu mwingine wa Maisha.
Pole sana ndugu,. Ukifanikiwa ???
 
Wapo wengi wa aina yako wanaokesha wakipiga kelele humu kwa ahadi za ugali.
Acheni ushabiki maana ni ulevi.
Chagueni elimu , haki na teteeni ukweli kwa nguvu zote.
La sivyo mtaishia kutumiwa na kutupwa kama kondom
Fanyeni hivyo siku zote, mtakumbukwa na vizazi
 
Mkuu hebu fanya attachment ya Ilani tukuoneshe..
.
mara zote nimekuwa nikiwaasa kumchallange Magufuli kwa kutumia Ilani...huo ndio mkataba kati yake na wananchi na ni lazima atimize.
1.Watoto wataopata ujauzito watarudishwa shuleni
2.Nitatoa milion 50 kila kijiji
3.Nitaongeza ajira
4.Nitaboresha maslahi ya watumishi
 
Back
Top Bottom