Tujikumbushe: Ahadi/Vipaumbele vya Rais Magufuli

Tujikumbushe: Ahadi/Vipaumbele vya Rais Magufuli

1569553909560.jpeg
 
Hivi hawa wanasi-hasa huwa wakisomaga kitu kama hiki wanacheka au wanajitafakari upya au ndio wanaona ndio siasa zenyewe au vipi?
Yaan wameongea vitu as if they're outside of their minds yaan havitekelezeki kama ile ya kilimo cha mibuyu ya umwagiliaji dodoma
 
Makonda chapa kazi, nione wa kukugusa, nimesema chapa kaaaazi, kwa hiyo viongozi wote wanamungalia tu makonda
 
50mil na laptop kitu gani kulinganisha na makubwa amabayo ameyafanya mpaka sasa. Kwa ufupi JPM ameishatimiza ahadi zake zaidi ya 100%
 
Hivi hawa wanasi-hasa huwa wakisomaga kitu kama hiki wanacheka au wanajitafakari upya au ndio wanaona ndio siasa zenyewe au vipi?
Yaan wameongea vitu as if they're outside of their minds yaan havitekelezeki kama ile ya kilimo cha mibuyu ya umwagiliaji dodoma
Hahaaa ,
Hiyo ndo maana ya siasa
 
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda vya ndani
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo.
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa.

Tunapojadili bajeti bungeni, tujikite kwenye haya. Tunapopingana na hoja za Rais, tukumbuke haya.

[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG][l
milioni mia tano kila kijiji.
 
Hayo mavipaumbele yote hayatekelezeki ni ulaghai tu. Hivi ukituliza akili yako inakwambia hayo yanatekelezeka? In real sense ni siasa uchwara.
 
Kati ya ahadi ngumu kutekelezeka ni kuboresha maslahi ya watumishi.Hakuna wakati watumishi wnaishi maisha magumu kama hiki.Miaka minne hakuna nyongeza ya mishahara.Hakuna Rais aliye jali watumishi kama JK the 2nd.Tukome
 
Back
Top Bottom