Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,417
- 5,276
Yusuph na ugumu wake alitaka alale mbele kuepuka aibu,sema malaika alimtuliza mtima.Soma maandiko vizuri.
Napia hapendi uzinzi, unaacha kukemea uzinzi ambao ndio chanzo unakemea kuachana. Unamdhihaki Mungu kweli, mwanaamke mwenzangu kakupa ukweli, dhambi haitetewi.Sijafanya dhihaka Ila nawakumbusha watu waache waache kusema vibaya.Mungu hapendi kuachana.