Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,840
- 11,783
You are not fair to me"unanionea" kwa kingereza?
You are not fair to me"unanionea" kwa kingereza?
Kabisa mkuu,,Me imekuwa kama kamusi sasadaah yapo mengi sana kama mtu yuko serious anatoboa at least
KAH...!!Amos McCullough - Amosi Makalla
Haidi sijawahi litumiaHakuna neno 'haidi'.
Ahadi, ahidi, ahidiwa ndio yako sahihi.
Tumetoka mjomba ni mama,baba mdogo n. uncle.