Tujifunze Kiingereza na Kiswahili hapa

" I'm ALWAYS right" --- what an ego!!! 😱😨
Well that ego must be my Ego according to your statement's perspective. so definitely it's mine.
But it's not about ego it's about self trust and assurance.

Otherwise this world will be a living hell for you, I know what I'm talking about so believe me when I say that.
But it doesn't matter I already believe myself.
 
Burial ceremony= sherehe ya mazishi??!!, then what do you translate in Kiswahili; wedding ceremony??!😱
 
Simple "sherehe ya ndoa."
Since wedding is a celebration not something to mourn or grieving.

Is Burial ceremony= "sherehe" ya mazishi ???!! --- that is what irks my mind!! 😱

Under normal circumstances can one find "sherehe" in a funeral??!!
 
Mkuu tofautisha kiingereza cha kujifunza darasani na kukariri grammar na kiingereza cha Native speakers.
Natives wenye lugha yao ndio wanaongea na kuandika hivyo.

Unajua maana ya neno funeral?
Hii hapa:

a ceremony or service held shortly after a person's death, usually including the person's burial or cremation.
"in the afternoon, he'd attended a funeral"

Na tafsiri ya neno "funeral" kwa kiswahili ni msiba, hilo ni neno maalum ambalo Natives wamelitengeneza ili kusimplify na kumaanisha "msiba".
Kusema "I'm going to the burial ceremony" ni sawasawa na kusema "nakwenda kweye sherehe ya mazishi" na kusema "I'm going to the funeral" ambayo ndio applicable kwa mujibu wa Native English speakers ni sawasawa na kusema "nakwenda msibani."

Sasa kwa kiswahili cha kawaida unaona sentence ipi ipo sahihi hapo?
"Nakwenda kwenye sherehe ya mazishi" au "nakwenda msibani"..?

Na kwenye English ni informal kutumia "Am" bali unatumia "I'm" au "I am".
Kwenye Kiswahili inafaa zaidi kusema shughuli ya mazishi/msiba, kuliko sherehe.
 
Kuna hili neno AHADI. Mara nyingi linanichanganya sana. Naomba wataalam wanifafanulie.
Ni kipi sahihi kati ya
-Ahidi na haidi
-Ameahidiwa kupewa fedha na Amehaidiwa kupewa fedha???

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Asante sana. Basi itoshe tu kusema tuna waandishi tena wa magazetu.bado hawaijui vizuri lugha yetu. Mara nyingi wanatumia Haidi, Haidiwa, yaani ni shida tupu mpaka unajiuliza maswali bila majibu.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
haidi = immortalize
uhaidi = immortality (perpetuity of existence, life with no end)
 
Kuna hili neno AHADI. Mara nyingi linanichanganya sana. Naomba wataalam wanifafanulie.
Ni kipi sahihi kati ya
-Ahidi na haidi
-Ameahidiwa kupewa fedha na Amehaidiwa kupewa fedha???

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hakuna neno 'haidi'.
Ahadi, ahidi, ahidiwa ndio yako sahihi.
 
Back
Top Bottom