Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
Ashaweka angalia hapo juuUchanganye humu humu Boss.
Ashaweka angalia hapo juuUchanganye humu humu Boss.
Asante mkuu ngoja na mimi ni check na jamaa wenye type rating ya Boeing, tatizo sijajua ni Boeing gani. Kama ni Boeing 737 Dash 200 ninaifahamu kiasi chake. Lakini nitapata majibu. Ndege ni pana sana mkuu.![]()
Nime-screenshot sehemu ya maelezo kuhusu autopilot, pitia pitia mkuu
Zinazoweza kurudi nyuma ni ndege zenye turbo prop power plant pekee. Kama vile ATR na hizo Bombardier. Turbofan haziwezi kurudi nyuma.Thanks mkuu kwann ndege husukumwa nyuma Na gari special airport, je Ni kwel haziwez kurud nyuma zenyewe?
NishauonaTayari upo humu
.Mwaka 1965 shirika la kusimamia mambo ya anga la dunia (International Civil Aviation Organization) liliamuru kifaa hiki kiwekwe kwenye kisanduku cha rangi ya njano angavu au rangi ya orange angavu (bright yellow or bright orange) ili kurahisisha uonekanaji wake wakati wa kukitafuta pindi inapotokea ajali.
Basi tunakiita black box kwa ujinga wetu tu. Maana kama Ni bright yellow au orange kinahusika vipi na black color[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka peke yangu.SIFA ZA KIPEKEE ZA FLIGHT DATA RECORDER;
Kifaa hiki kimehifadhiwa kwenye " enclosure" ambayo ina sifa hizi:
1: Kinaweza kuhimili moto mkubwa wenye jotoridi 1100°C, kikiwa 100% kwenye moto huo, kikahimili kwa dakika 30. Endapo enclosure itakuwa na kiwango cha ED 56 Test protocol (Hiki ni kiwango cha juu sana cha material kuhimili joto), basi kinaweza kudumu katikati ya moto huo kwa saa 1 yaani dakika 60.
Kwenye moto wa kiwango cha chini 260°C (Oven test), kinahimili moto huo kwa masaa 10
2: Athari za kuanguka kwa kishindo; Kinaweza kuhimili impact shock ya kiwango cha 3400g(g ni kipimo cha shock) yaani kiwango hicho ni kikubwa sana cha shock. Kifaa hiki kipo strong.
3:Kifaa hiki kina life span ya kukaa ndani ya maji ya bahari kwa siku 30 bila matatizo.
Ili kurahisisha upatikanaji wake, kifaa hiki hakitafutwi kwa macho tu, hivi sasa kimeboreshwa, kikiwa popote hata majini kinatoa frequency ambazo zinaweza kupokelewa na receiver.
Hiyo ndiyo Flight Data Recorder Al-maarufu Black Box.
Kwahiyo now days Concord hazipo tena sokoni??Concord ilikuwa inasafiri kwa spidi kubwa sana ambayo ilikuwa ni ngumu kwa rubani kuicontrol. Baada ya ajali zake kuonesha makosa ya marubani kushindwa kuicontrol ilibidi izuiliwe.
Mkuu wala usiseme ni ujinga kukiita "Black box". Hilo ndilo lililokuwa jina maarufu kwa watu wa kawaida kipindi cha miaka 1950-1965. Kwa sababu miaka hiyo kilikuwa na rangi nyeusi.Basi tunakiita black box kwa ujinga wetu tu. Maana kama Ni bright yellow au orange kinahusika vipi na black color[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka peke yangu.
Sasa mkuu Nina maswali,
1.umesema kinaweza kikakaa katika maji ya bahari au baharini kwa siku 30 yaani mwezi mmoja,vipi maji ya mto au ziwa kinakaa kwa siku ngapi? Since maji ya sehemu hizo ni tofauti na baharini.
2. Hivi ile ndege ya Malaysia hiki kifaa chake hakijapatikana mpaka Leo? Na una taarifa yeyote au tetesi juu ya ndege ya shirika la Malaysia??
Asante sana mkuu,sikuwahi fahamu haya kabla. Tunaomba na somo la ile triangle ya kifo kama hutojali...
Ubarikiwe
Kuna mtu nimemuuliza yuko France kaniambia Concord zimebaki kuwa maonesho. Ni abiria ndiyo walianza kuzikimbia kutokana na ajali, ukizingatia zilikuwa ni ndege za gharama mkubwa.Kwahiyo now days Concord hazipo tena sokoni??
Hii system ipo kwenye ndege nyingi. Baada ya lile tukio la September 11, 2001, shirika la anga la marekani FAA walitoa recommendation kwamba ndege yoyote kubwa ya abiria itakoyoruhusiwa kuruka kwenye anga yao lazima iwe na system ya ku override control ya rubani wa hiyo ndege na ikawa inaongozwa moja kwa moja kutoka chini. Hii ni kwa ajili ya kuzuia tukio kama lile lisijirudie tenaMkuu nna swali lingine, kuna mahali niliwahi kusoma nadhan ni humu humu JF. Iliandikwa kuwa ndege aina ya Boeing ina teknolojia inayoweza kumfanya pilot asiweze kui-control, hii hufanyika pale ambapo itaonekana ndege inakuwa na muelekeo wa kuleta ajali na kuanzia hapo ndege inakuwa kwenye autopilot remotely. Kama zilivyotumika zile ndege zilivyogonga yale majengo WTC, sept 11. Je hili likoje mkuu, kuna ukweli katika hilo?
Duh... Nilikuwa Nazi admire etiiiKuna mtu nimemuuliza yuko France kaniambia Concord zimebaki kuwa maonesho. Ni abiria ndiyo walianza kuzikimbia kutokana na ajali, ukizingatia zilikuwa ni ndege za gharama mkubwa.
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Tukio lipi hilo boss,la majengo lile au?Hii system ipo kwenye ndege nyingi. Baada ya lile tukio la September 11, 2001, shirika la anga la marekani FAA walitoa recommendation kwamba ndege yoyote kubwa ya abiria itakoyoruhusiwa kuruka kwenye anga yao lazima iwe na system ya ku override control ya rubani wa hiyo ndege na ikawa inaongozwa moja kwa moja kutoka chini. Hii ni kwa ajili ya kuzuia tukio kama lile lisijirudie tena
Zilikuwa na spidi mara mbili ya sautiDuh... Nilikuwa Nazi admire etiii
Bro naomba nikusahihishe kidogo. Hata zenye turbofan engine zipo zenye uwezo wa kurudi reverse. Kwenye ile turbofan engine kuna device hua zinatumika kupunguza speed ya ndege ikiwa imetua zinaitwa Thrust reverser au kwenye engine zingine zinaitwa thrust gate. Hizi device kwenye engine zingine zinatengenezwa kiasi cha kua na uwezo hata wa kuisukuma ndege nyuma from stationary position. Mfano mmoja wapo ni ndege ya mizigo C-17 Globemaster, hii inapiga reverse yenyewe kwa kutumia thrust gate za engine zakeZinazoweza kurudi nyuma ni ndege zenye turbo prop power plant pekee. Kama vile ATR na hizo Bombardier. Turbofan haziwezi kurudi nyuma.
YapTukio lipi hilo boss,la majengo lile au?
Ok, asante mkuu. Thrust reverser mimi naona kwenye ndege nyingi ni kwa ajili ya kupunguza speed.Bro naomba nikusahihishe kidogo. Hata zenye turbofan engine zipo zenye uwezo wa kurudi reverse. Kwenye ile turbofan engine kuna device hua zinatumika kupunguza speed ya ndege ikiwa imetua zinaitwa Thrust reverser au kwenye engine zingine zinaitwa thrust gate. Hizi device kwenye engine zingine zinatengenezwa kiasi cha kua na uwezo hata wa kuisukuma ndege nyuma from stationary position. Mfano mmoja wapo ni ndege ya mizigo C-17 Globemaster, hii inapiga reverse yenyewe kwa kutumia thrust gate za engine zake