Mkuu kile kitundu kinaitwa "bleed hole" hakitokei mpaka nje ila kipo kwenye "pane" (Pane naweza kusema ni tabaka) ya katikati. Ipo hiviMkuu swali moja dogo, kwenye madirisha ya ndege, hua kuna kitundu kidogo sana saizi ya kupita sindano kimetoboa dirisha (kioo) mpaka nje. Hii ni kwaajili ya nn kama kina apply kwa ndege zote na sio ile niliyoona mm tu?![]()
![]()
Mkuu swali lako la kwanza jibu lake ni dhahiri kwamba ndege akiingia kwenye injini, injini haiwezi kufanya kazi kwa sababu kimeingia kitu kigeni ambacho hakitakiwi hiyo kwa lugha za kindege inaitwa Foreign Object Damage (FOD).Siku moja tena FastJet wakat inaanza kupaa (sjui tairi ya mbele ilishanyanyuka kiasi gan) kunguru aliingia kwenye injini na ilibidi rubani alazimishe ndege isiendelee kupaa, na akafunga breki kali sana (sijawah ona breki ile)kwasababu runway ilikua imeisha nafkir. Kisha ndege ikarudishwa kwenye matengenezo.
SWALI 1: pangekua na madhara gani kama tungeendelea na safar?
SWALI 2: Kweli hawa Airbus wameshindwa kudhibiti viashiria vya hatari kama vya ndege kuingia kwenye injini (si wangewekaga bas nyavu flan angalau kuzuia), au tatizo nini?
Mkuu swali lako hili ni la Kipilot zaidi nitawauliza Marubani ili nikupe jibu lisilokuwa na shaka.Mimi nauliza ni kwanini ndege ikiwa inatoka Dar kwenda mwanza inapitia anga la musoma. Na wakati kigeographia musoma ni mbali sana??
Mkuu kufa kwa Concord sababu ambazo ziliwekwa wazi ukizifikiria haziingi akilini. Wao walisema ni sababu za kibiashara, yaani kwamba gharama za kuzihudumia concord ni kubwa kuliko mpato yake. Unajua Concord zimefanya kazi miaka 27. Lakini kila ilivyokuwa ikiendelea kuboreshwa spidi, hasa hili toleo la mwisho mwisho ajali ziliwaogopesha watu. Usilinganishe ndege ya jeshi wanayokaa sijui watu nne na ndege inayobeba abiria. Ni aina mbili tu za ndege za abiria ambazo zimekuwa na supersonic speed. Ukiachilia mbali Concord, nyingine ni Tupolev Tu-144 ya Warusi lakini zote haziko angani tena. Why? Lakini unaweza kuchukua hizo sababu zilizowekwa wazi siyo mbaya.Mkuu umesema Concord ilikufa Kwasababu ilikuwa na kasi Sana hivyo kuwa ngumu kwa marubani kuimudu,je ilikuwa na kasi kuliko ndege vita?kama la Kwanini basi marubani wa ndege vita wanazimudu?
Mkuu mpaka ndege inashuka tayari imeshapunguzwa speed, lakini pia inategemea na umahiri wa rubani. Kuna marubani wengine ni rafu kama unavyoona madereva wa magari. Kwa usalama wa breki inashauriwa kushuka na speed ambayo ni reasonable.Mkuu kwann ndege zinashuka kwa kasi ardhini? Hadi inatoa cheche? Kwann isipunguze speed angani ili ishuke taratibu. Yaan ikimbie hata 25m tu kwa ndege kubwa then ipak?
Kwa kifup naomba nijue sifa za hiyo ndege hasa kweny spidiHizi ndege zilikuwa zinavutia kiasi fulani. Ndege ina Mach number 2.04 can you imagine!
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Yes tayari BossUliziona zile picha za contrails?
Duh, hahahah. Nimecheka sana hiyo sehem ya mwisho: kinasaidia dirisha lisipate ukunguMkuu kile kitundu kinaitwa "bleed hole" hakitokei mpaka nje ila kipo kwenye "pane" (Pane naweza kusema ni tabaka) ya katikati. Ipo hivi
Dirisha la ndege lina pane tatu, ambazo ni pane ndani ambayo unaweza kuigusa ukiwa ndani ya ngege, pane ya katikati na pane ya nje. Sasa hiki kitundu hakipo kwenye pane ya nje. Kitundu hiki kipo kwa ajili ya usalama wako. Kivipi? Nifuate hapa chini:
Unapozidi kwenda juu zaidi density ya hewa hupungua, yaani hewa inazidi kuwa nyembamba, hivyo pressure yake nayo huzidi kupungua kadri unavyozidi kwenda juu. Pressure ya hewa dhidi yetu ndiyo hutufanya sisi tujisikie vizuri hivi tunavyojisikia tukiwa hapa chini. Sasa kutokana na pressure kupungua unapozidi kwenda juu, ili ujisikie sawa kama upo hapa ardhini, ndani ya ndege huingizwa hewa ili kuleta mgandamizo wa hewa kama huu unaousikia hapa ardhini (Cabin pressurization). Hali hii husababisha tofauti kubwa ya mgandamizo wa hewa wa ndani ya ndege na nje ya ndege. Hivyo hutokea hali ya msukumo fulani kuelekea nje ambako kuna mgandamizo mdogo wa hewa. Ili kuweza kuleta msawazo (equilibrium) wa gap lililopo kwenye hizo window pane ndiyo kukawa na hivyo vitundu (bleed holes). Vile vile vitundu hivyo husaidia madirisha kutoweka ukungu (fogging).
Sasa ndege kama kunguru au njiwa wakiingia wakati ndege iahapaa iko angani inakuaje???Kuhusu kuziba ni jambo gumu kwa sababu hewa inatakiwa iflow kuingia bila kizuizi. Mkuu unafikiri jambo la kuziba lingekuwa linawezekana lisingefanyika kwa usalama wa ndege na abiria? Hawa ndege wanyama wakati mwingine husababisha ajali kabisa.
Jibu hili hapa linaweza kusaidiaKwa kifup naomba nijue sifa za hiyo ndege hasa kweny spidi
2180km/h
Yaani kwenda mwanza inatumia dakika 15 tu
Dubai Masaa 2
[emoji15] khaaaa ,kama ya kivita hiyo speedKwenye cruising altitude ilikuwa na speedbya 1354 mph ambayo ni swa na 2180km/h