Tujenge kuta za kifikra

Tujenge kuta za kifikra

Yes...I was just thinking, ujenzi wa kuta ni miradi ya viongozi wajinga!
Siwezi kuita ni mtazamo finyu wa fikra.... Pengine pressure za kisiasa nazo zinachangia
 
Najiuliza tu wale wanaopitisha Sera mbov pale mjengoni sijui tujenge ukuta kuzunguka jengo lao?
 
Mkuu umesema kweli hebu angalia BOT ilivyo na ulinzi na machuma lakini bado hela za escrow zinatoka na wanakwenda kuzigawa kwenye vigunia na magunia
Magrille na makufuli ya chuma yaliyounganishwa na kuta ndefu imara na camera za ulinzi ni sehemu tu ya kudhibiti lakini sio uhakika kwa asilimia mia moja
Mapinduzi ya kifrikra ni muhimu zaidi kwakuwa huko ndio kwenye chanzo na asili ya mipango yote
 
Umetisha sana Mshana. Umefikiri zaidi ya leo kiukweli ujenzi wa ukuta nikujipa shida. hivi bandari pale si kuna kuta mwanzo mwisho lakini wizi ni kama kawa.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Watu wa ujerumani walijikuta kwenye mtanziko mkubwa wa kuhitilafiana mitazamo, wa magharibi wakawa na mitazamo inayokinzana na wa mashariki... Wakashindwa kabisa kupatana..... Na mwisho wakaja na wazo la kujenga ukuta wa kuwatenganisha....

Ukuta ule haupo tena, ulikuja kubomolewa baada ya miaka mingi kupita lakini ni baada ya kujitambua kwamba ukuta wa mawe hauwezi kuondoa tofauti zao bali ukuta wa kifikra ukuta wa kimtazamo... Walivunja kuta hizi kwanza kabla ya kuvunja ukuta ule unaoonekana..

Waisrael wanajenga ukuta kuzunguka ukanda wa Gaza kujikinga na Wapelistina... Hii ni dhana iliyojengeka mioyoni mwao.... Kuna siku ule ukuta utavunjwa....

Trump anataka kujenga ukuta mpakani na Mexico ni dhana iliyo mawazoni mwake anataka kuifanya halisi... Atajenga sasa lakini kuna siku itafika utabomolewa.

Ukuta ni kitu kisicho na uhai.. Ukuta ni kitu kinatokana na dhana... Dhana huzaliwa hukua hubadilika na hata kufa pia.

Ni wazo jema kabisa kujenga ukuta kuzunguka machimbo ya TANZANITE kule mererani... Ni kuonyesha jinsi tulivyoguswa na wizi wa madini yetu adimu, lakini Mererani ni sehemu ndogo tu ya tatizo kubwa halafu sugu... Tutajenga kuta ngapi Tanzania nzima ?

Ukuta bila UZALENDO ni kazi bure hujuma zitaendelea bila kukoma, rushwa itatamalaki.... Ukuta kuzunguka Mererani sio suluhisho.. Watu watafanya mtobozano.. Zitachimbwa njia chini ya ardhi na biashara itafanyika kama kawa binadamu halindiki... Baki na ukuta wako na makamera yako wanaume wanapiga kazi chini ya ardhi kwa raha zao... Chini ya ukanda wa Gaza kuna njia mamia zimetobolewa kuingia Israeli.

Ukuta wa mawe hapana, tujenge ukuta wa fikra za kizalendo, huu ni ukuta imara zaidi na usio na gharama kubwa, ni ukuta usio na mtobazano... Ukuta huu si kwenye madini tu bali kwenye kila tunu na rasilimali za taifa letu tukuka.

Twendeni tukajenge sasa.....

#UKUTA#
Kujenga ukuta wa kifikra tunahitaji miongo mitatu maana ni kizazi hiki hakiwezi kubadilika
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Natoka kuongea na office met wangu Leo kitu hiki hiki. Tujenge ukuta mkubwa wa uzalendo, uwaminifu na kuvumiliana matunda take yataonekana tu. UKUTA wa tofali na mawe haujwahi kuwa imara..natumaini Jembe JPM atalifanyia kazi hilo
 
Tumuombee [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Back
Top Bottom