ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,381
- 28,520
🤣🤣🤣Nikiona mtu ana idea kubwa kubwa kama hizi nafarijika,
🤣🤣🤣Nikiona mtu ana idea kubwa kubwa kama hizi nafarijika,
Muhubirie kdgUzi wangu hujacomment,ila umekuja kunianzishia Uzi huku,huu ukorofi huu🙄
Apana neno la mungu popote mwachie kifungu cha dhihakaAnadhihaka,hivyo sitokaa mahali penye dhihaka.🙏🙏
Mama mchungaji ni MKE WA MCHUNGAJI. Mwenye kanisa anakuwa mchungaji.Lakini mchungaji umeolewa au nafasi ya kuwa baba mchungaji iko wazi?
Yaani we jamaa ni moja ya Member wenye tabia za hovyo sana humu Jamiiforums, na unajiona mjanja kumbe ni mji****tu, kuna haja gani ya ku screenshot uzi wa mtu na kuanzishia uzi?
Hali mtaani ni mbaya sana wazee.
Mchungaji kidini ni mtu anayeongoza kanisa , awe awakiume awe wakike , soma maana ya pastor mama mchungaji maana yake ni mke wa mchungaji bila kujali huyo mwanamke ni mchungaji ama laa,Mimi nikisema mama mchungaji I mean simply mke wa mchungaji / mzee wa kanisa.
Not a woman who stands up and decides they're going to start and lead a church. That church has no mchungaji.
Women are required to spread the Gospel though.
And towards the end women too will rise up to announce the Lord's return.
“Then, after doing all those things, I will pour out my Spirit upon all people. Your sons and daughters will prophesy. Your old men will dream dreams, and your young men will see visions.
In those days I will pour out my Spirit even on servants—men and women alike.
And I will cause wonders in the heavens and on the earth— blood and fire and columns of smoke.
The sun will become dark, and the moon will turn blood red before that great and terrible day of the Lord arrives.
But everyone who calls on the name of the Lord will be saved, for some on Mount Zion in Jerusalem will escape, just as the Lord has said. These will be among the survivors whom the Lord has called."
joel.2.28-32.NLT
Na umehamia Dar kweli. HahahaUzi wangu hujacomment,ila umekuja kunianzishia Uzi huku,huu ukorofi huu🙄
Shida sio huyo, shida ni mwanaume anayejipa umuhimu kwenye maisha ya mwanamke ambaye hana hata muda nae. Kaambiwa ukweli Uzi wake wote kaujaza matusi.Na umehamia Dar kweli. Hahaha
Mama mchungaji ni MKE WA MCHUNGAJI. Mwenye kanisa anakuwa mchungaji.
Naomba niwe kanisani kwako ili nikupateNitampata kanisani mkuu
Mama Mchungaji To yeye
Mimi nikisema mama mchungaji I mean simply mke wa mchungaji / mzee wa kanisa.
Not a woman who stands up and decides they're going to start and lead a church. That church has no mchungaji.
Women are required to spread the Gospel though.
And towards the end women too will rise up to announce the Lord's return.
“Then, after doing all those things, I will pour out my Spirit upon all people. Your sons and daughters will prophesy. Your old men will dream dreams, and your young men will see visions.
In those days I will pour out my Spirit even on servants—men and women alike.
And I will cause wonders in the heavens and on the earth— blood and fire and columns of smoke.
The sun will become dark, and the moon will turn blood red before that great and terrible day of the Lord arrives.
But everyone who calls on the name of the Lord will be saved, for some on Mount Zion in Jerusalem will escape, just as the Lord has said. These will be among the survivors whom the Lord has called."
joel.2.28-32.NLT
Mtaelewana mbele kwa mbele nyote lengo lenu si ni moja 😄😂😂😂😂Umejuaje kwamba huyo dada na mada zake ...tunapishana balaa🥴
Kitengo cha dhambi nje nje..!!!Kitengo adhimu hiki.
Kizuri sana aisee