Hatutaki keroro!!😂😂😂😂😂😂Mtunza hazina hutaki utani aisee 🙌
Kabisa😂😂🤭Hii imeendaa hii
Nitakua mweka hazina wa kanisa.❤️ Hakika nahitaji support yenu mkuu🙏
Nshawahi hii nafasi, we kuwa hata katibu.....bila shaka hautakua kama katibu wa masanja.😀😀😀naomba niwe muweka hazina wa Kanisa lako
Wewe utakuwa pembeni yangu kwa ajili ya kunipoza nisipige waumini,maana kwa hasira hizi afu waumini wenyewe ndiyo kina Vincenzo Jr 😭😀😀😀naomba niwe muweka hazina wa Kanisa lako
Kama hili somo umelielewa na mimi nitafuteUtanizibia ridhiki mkuu,nimejifunza kwa mama wa nchi,ukitaka uonekane kuwa wewe kama wewe👊
😀😀😀Nshawahi hii nafasi, we kuwa hata katibu.....bila shaka hautakua kama katibu wa masanja.
Ila Melo katia kufuli ofisini, sijui utafikia wapi?Asante sana mkuu🙏