Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Ooh,. Ni watu wawili tofauti
Ooh,. Ni watu wawili tofauti
Najua ila mnanoichanganya sana. Jambo linawezasemwa na wewe muda ukipita nawaza hivi alisema huyu au yule. Sababu sijui ila nadhani nitapana tu😀Ooh,. Ni watu wawili tofauti
Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali....
Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu