Serious ukifika dar tutafutaneMimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali....
Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒
Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏
Am in love with my country❤️
#Tanzania forever🙏
wasije wakakunasa ukawa mateka wao😂😂😂 Waumini wengi sana hapo mkuu
Umesahau ile dhambi kuu ya kuchunana ngozi ukiwa hai huko Mbozi, Mbeya ya wakati ule? Hasa ule uelekeo wa ITAKA..!!Dar es salaam kuna dhambi nyeusiii... 🥴🥴🥴
Ohooo.. Una kichwa kikubwa tenaa 🤠🤠Hapana,sikuumbwa na kichwa kikubwa Cha bure mkuu
Cha muhimu tutulize akili na pia usiwe muongea pumba kama mke wa yule mchungaji aliyepuliza gesi ili tusistukiwe mapemaHakika hakika,na kuzipeleka zikasaidie vituo vya watoto yatima
kule kuna ushirikina sana, ila Dar es Salaam kuna ushetani mwingi kabisaUmesahau ile dhambi kuu ya kuchunana ngozi ukiwa hai huko Mbozi, Mbeya ya wakati ule? Hasa ule uelekeo wa ITAKA..!!
😂😂😂Huoni kwamba kanisa huweza Jenga miundombinu mipya mingine mingii....Sadaka ya kujimalizaMakanisa na Misikiti ni sehemu za kwenda kupoteza muda tu. Kwa nini tusihamasishane tujenge labda hata public computer lab moja na kujitolea kufundisha ndugu zetu watoto ujuzi unaoweza kuwasaidia hapo mbeleni??!! Karibuni mbege kabla ya kwenda kwenye mahubiri wakuu
Ushirikina nao ni ushetani kama ushetani mwingine tu..!!!kule kuna ushirikina sana, ila Dar es Salaam kuna ushetani mwingi kabisa