ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,430
- 28,723
Hali ni ngumu dada, pole sana.Uzi wangu hujacomment,ila umekuja kunianzishia Uzi huku,huu ukorofi huu🙄
Hali ni ngumu dada, pole sana.Uzi wangu hujacomment,ila umekuja kunianzishia Uzi huku,huu ukorofi huu🙄
Mkuu Mungu akuongoze utimize hili dhumuni 🙏🙏🙏Free of charge, ila watatakiwa kuwa na commitment ya kuhudhuria mafunzo. Nimeplan kuanzia na desktop computer 5 - 6, nitafundisha basic computer applications baada ya hapo nitafundisha general introduction of Computer programming, watakao onyesha interest nitaendelea nao kwenye somo la Programming.
Maeneo ya kujifunza yanaweza kuongezeka hapo baadae kama vile Basic Computer Security etc.
Tuombe uzima kwa sasa changamoto ni muda tu
Usituvurugie amani ya mama mtumishi wetu.
Sawa mzee wa kanisaUsituvurugie amani ya mama mtumishi wetu.
Hapa umemuona nani madhabahuni?
Huyo mwingine sisi hatumjui hapa kanisani.
Uzi wangu hujacomment,ila umekuja kunianzishia Uzi huku,huu ukorofi huu🙄
Point ya uzi ipo hapa 😹Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏
🤣🤣🤣Yule aliecoment jana kwenye picha kwamba nalala store bado namtafuta aniambie vzuri