Wewe unajimaliza huku mchungaji ndio anaanzisha ujenzi wa hotel yake nyingine. Akili mtu wangu😂😂😂Huoni kwamba kanisa huweza Jenga miundombinu mipya mingine mingii....Sadaka ya kujimaliza
Cc: mwamposa
Moja ya idea Kali sana kwa maendeleo ya jamii itazalisha magenius wengi sanaMakanisa na Misikiti ni sehemu za kwenda kupoteza muda tu. Kwa nini tusihamasishane tujenge labda hata public computer lab moja na kujitolea kufundisha ndugu zetu watoto ujuzi unaoweza kuwasaidia hapo mbeleni??!! Karibuni mbege kabla ya kwenda kwenye mahubiri wakuu
😀😀🤣Kabisa kabisa mkuu,nikisema
FIREEEE,Wote chini🤒
Mi natarajia nikusapoti kwa kuwa BABA MCHUNGAJI..!!❤️ Hakika nahitaji support yenu mkuu🙏
Kwenye hizo nyanja mbili hutapata support yangu mkuu.❤️ Hakika nahitaji support yenu mkuu🙏
Hii ipo kwenye orodha ya vitu nilivyo plan kuvifanyaMoja ya idea Kali sana kwa maendeleo ya jamii itazalisha magenius wengi sana
Au Apostle wa Jf Setfree.Nanukuu... mkileta mambo meusi naharibu ... Mwisho wa kunukuu...!!! To yeye, statement hii uliosema kwenye post yako, inakuondolea sifa ya kuwa mama mchungaji..!! We tuendelee tu kuuza mchele NDONYA 80 kwa siku, haya mambo ya uchungaji tuwaachie akina Mbarikiwa Mwakipesile
😂😂😂Mbalizi Mbeya Kuna bonge la hotel ya mwamp....yaan acha mkuu
Sawa mkuuNanukuu... mkileta mambo meusi naharibu ... Mwisho wa kunukuu...!!! To yeye, statement hii uliosema kwenye post yako, inakuondolea sifa ya kuwa mama mchungaji..!! We tuendelee tu kuuza mchele NDONYA 80 kwa siku, haya mambo ya uchungaji tuwaachie akina Mbarikiwa Mwakipesile
Sawa mkuuView attachment 3466545
Kichwa cha habari ni TUJENGE KABISA WANAJF...!!!
Nimeipenda hii,kwahiyo hapa itakuwa free kabisa au watalipia kidogo maana hii suala linahitaji mtaji naloHii ipo kwenye orodha ya vitu nilivyo plan kuvifanya
Ubarikiwe sana.Amina Amina
Ndio katika muktadha huo huo wakujenga kanisa, na kwa vile umesema dar, so ukija tutafutane , kwa vile sisi tuna pakunzia .Hii ni maajabu mkuu,nazungumzia kujenga kanisa siyo kukutana na member mmojammoja mkuu