MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,090
- 22,370
au ma.taco adi mbuzi anayoni masikio
Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.
Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.
Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.
Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
Ukipata nafasi ya kujenga ukiwa kijana jenga, hela haijai na muda haukusubiri.Nini kifanyike?

Ukisema kuendelea kuwa juu unakuwa unamaanisha nini?Sijasoma matapishi yako yote hila ebu nikupe maarifa! Mwenyenyumba ataendelea kuwa juu sana kuliko mpangaji hata kama unamzidi kipato!
Ase mimi nakubaliana na wewe 💯 kukimbilia kujenga nyumba ya kuishi ni ufala. Kama umepata marundo au unadunduliza jitahidi kufanya investment kwenye vitu vinavyoingiza hela. Akili ya utafutaji uifungue sio uwe na akili ya kubana matumizi. Wanamsemo wao eti sidaiwi kodi.Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.
Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.
Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.
Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
Mbona kama akili ndogo ni wewe! Mleta uzi katoa hoja zake na zina ushawishi, we umekurupuka na matusi bila hoja!Akili ndogo ww mtoa mada