Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
wakati mwingine ni vizuri kupitwa na wakati babu......Mie mtu akinambia kuwa ana Plan A pekee ila pia anaiba mara moja moja nitamwelewa. Ila yule ambaye anasema kwamaba anamaitain A, B, C...etc na kutoa huduma zote basi nitamwogopa sana...
Anyway...ngoja niishie hapa kwani akina Dena Amsi wanaweza kunambia nimepitwa na wakati...lol!
Babu DC!!
Nakumbuka sana mafundisho ya dini nikiwa secondary kuhusu Urafiki, Uchumba na Ndoa; tuliambiwa (na kweli ina make sense) kuwa ni vizuri kuwa na marafiki wengi, lakini mchumba ni mmoja na kipindi cha uchumba maana yake unakuwa umefungwa (huwezi kuruhusu mchumba mwingine in case umemkubali wa kwanza); hiki ni kipindi cha kuchunguzana tabia kabla ya kujifunga moja kwa moja kwenye ndoa.
Lakini kwa sasa idadi kubwa ya watu (hasa wadada) walioko kwenye uchumba wana kuwa na bima au plan B au mpango wa kando. Hali hii ikija kugundulika mara nyingi hupelekea muhusika kukosa yote hata kama alikuwa anapenda kuolewa.
Sasa wana jamvi naomba tujadili kuhusu:-
- ulazima au umuhimu wa plan B
- Kiini cha tatizo hasa ni nini?
- Nini kifanyike ili hii hali isiendelee?
By Dark City
Mie mtu akinambia kuwa ana Plan A pekee ila pia anaiba mara moja moja nitamwelewa. Ila yule ambaye anasema kwamaba anamaitain A, B, C...etc na kutoa huduma zote basi nitamwogopa sana...
Anyway...ngoja niishie hapa kwani akina Dena Amsi wanaweza kunambia nimepitwa na wakati...lol!
Babu DC!!
wakati mwingine ni vizuri kupitwa na wakati babu......
kuna sehemu nimesikia eti kuna dawa ya hospitali inayoweza kufanya mtu awe na feelings nawe.........
na aliyesema ni daktari siyo layman kama mimi
nikaona kweli duniani tunaendelea......
sasa masangoma sijui watatapeli wapi tena?
inawezekana pia wakawa na ndoa ya amani/raha tele kwani plan B huwa zinatofauti kidunchu sana na plan A, vimeo vinaanzia plan D kuendelea.
wakati mwingine ni vizuri kupitwa na wakati babu......
kuna sehemu nimesikia eti kuna dawa ya hospitali inayoweza kufanya mtu awe na feelings nawe.........
na aliyesema ni daktari siyo layman kama mimi
nikaona kweli duniani tunaendelea......
sasa masangoma sijui watatapeli wapi tena?
na huu ndio ukweli mtamu/mchungu wenyewe, maisha ndio kama hivi, nina mdogo wangu mtoto wa mama mdogo nadhani yeye anaenda mpaka Z na kurudia A-Z tena, kuna siku nikamuuliza hivi unawezaje kuwa handle hawa binadamu jamani na kwanini unafanya haya, aliniambia" sister acha unafiki, ina maana kuna ugumu gani hapa, kwani kuna alieweka pete kidoleni? basi na nitakaemwambia leo siwezi kukuona na anitii".....
Na wakaka je? Hawana changamoto hizo?
Mfano elmagnifico tumeshuhudi hapa hapa, kama haikuwa muvi.
Mie nadhani wote tumechachamalishana nywele kwa kweli.
what i believe is smtms watu huwa wna date wrong choice na baadae Mungu huwa analeta the correct choice kwao.
kwan nasema hivi??? nilipokuwa na mhaya nilijua niko na hubby to be ila nafsini mwangu moyo haukuwah kufunga sana kivilee sijui kwann, hatukuwah kugombana wala nini na tulikuwa tunacope vyema but, siku alipokuja hubby ndipo nilijisemea sasa hili ndilo chaguo langu.hakuwa na cha ziada ila kuna kule moyo kufunguka hadi ukajiskia nafsini na akilini mwako.
The coastal Theory ya Mafiga matatu
Swali, yanaleta uhakika wa ndoa??Au ni vibuzi tu vya kununua unga kilo moja na dagaa?
Unajua concept ya ndoa nayo katika dunia ya utandawazi hii imekuwa ngumu sana kuijadili.
Kwanza waliowafundisha mafunzo hayo ya uchumba ni watawa au watu wenye ndoa zao?? Nataka kupima uzoefu wao wa hali halisi. Mtu anayekufundisha theory ya kuogelea wakati si mwogeleaji ni ngumu sana kujua changamoto za swimming pool, bahari, mto na ziwani. Mengine ana-assume tu kumbe ndivyo sivyo. Hakuna kitu kilichokuwa naona muujiza kama 'alteration in rocks' lakini kiuhalisia ize tu, anyway. Changamoto ya kwanza.
Lakini pia, unapokuwa na Plan B, wakati Plan A iko active, una uhakika kiasi gani Plan B itakuoa pale A mambo yanapokwenda mrama? Je Plan B nayo ikiingia mitini? Kutakuwa na haja ya kuwa na Plan C and D labda??
Aisee, ndoa na mapenzi hayana mahakama wala insurance kwa mtizamo wangu. Noana hapa Plan B inataka kutumika kama insurance hivi.
Kuweka kwa muhtasari ni kuwa asilimia kubwa ya wanandoa hawajaoa/olewa na wapenzi wao wa kwanza.Well ambacho ninakumbuka au kwa uzoefu ni kwamba wengi wameoana-na wachumba ambao sio wale wa mwanzo, au waliotarajiwa, bali na wengine waliojitokeza kwa muda muafaka, mazingira muafaka, na kuwa na maono muafaka. Mara nyingi wachumba 'wa zamani' inabidi kuwaaacha...ustaarabu gani unatumika, ni juu ya mtu mwenyewe lakini wengi wameendelea kuwa marafiki wa familia mpya..na hata kushiriki kwenye sherehe za ndoa za wenzi wao wa zamani.
na labda niseme tu kwamba hapa sio ile mtu unakuwa na plan B intentionally au kama insurance kama ilivo 'siku hizi' hapana....inatokea tu kutokana na mizunguko ya dunia hii na hali halisi ya maisha....kuwa na wachumba wawili at the same time na wote umeahidi kuwaoa/kuolewa nao ni uhuni uliopitiliza....
CC: Dark City retired major general, FP snowhite, Kaunga, SnowBall, cacico, Mtambuzi, AshaDii, gfsonwin, Asprin, Kongosho, BADILI TABIA.
BCC: Nicas Mtei, kwa mafunzo zaidi. sosoliso, saudari, Erickb52.
Theory ya Mafiga matatu sio kwa ajili ya kuleta uhakika wa ndoa, havihusiani kabisa. Mafiga matatu huwa yanakuwepo kabla ya ndoa na pia yanaendelea kuwepo baada ya ndoa(ndani ya ndoa).
Ishu ni kwamba always kunakuwa na wanaume watatu:
Wa kwanza ni yule ambaye anamiliki jumla kiunyumba/kigharama, huyu mara nyingi ndiye anakuwa ndiye mtunzaji mkuu.
Wa pili ni yule ambaye ni chaguo la moyoni la mwanamke, ni yule ambaye mwanamke anampenda tu kwa jinsi alivyo.
Wa tatu ni yule ambaye ni fundi mzuri wa kupiga ile mashine.
Wenyewe(wanawake wenye theory hiyo) wanakwambia ni mara chache kumpata mwanaume mmoja mwenye sifa zote tatu.