Tujadili: Pre-ndoa... Plan B aka 'BIMA'

Mipango gani inavurugika na "Backup" ipo??

Tatizo ni kua ikishakua tabia hata hiyo backup ikishachukua namba unaanza kuangaika kutafuta Plan b. Na kibaya zaidi ni kupoteza chaguo la wako moyo kwa sababu ya Backup.
 
Tatizo ni kua ikishakua tabia hata hiyo backup ikishachukua namba unaanza kuangaika kutafuta Plan b. Na kibaya zaidi ni kupoteza chaguo la wako moyo kwa sababu ya Backup.

Kama yupo yupo hakuna cha kupoteza hapo wewe
 
Most of Relationships Crumble because of Unfaithfulness.Siku moja Ofisini kwetu tulikuwa tunampongeza mwenzetu kwa kufunga harusu nami katika tukio hilo nikaamua kufanya utafiti.Niliwauliza wale walioko katika familia waniambie ni nani kati yao AMBAYE hayaenda nje ya ndoa (kuwa na nyumba ndogo) baada ya kuwa amefunga harusi? Nilishangazwa kugundua kuwa wote wameshaenda nje ya ndoa mara kadhaa baada ya harusi zao. Sasa Je nini maana ya mbwembwe zote za Siku ya harusi? Ni dhahiri kuwa kukosa uaminifu kulianza kabla ya ndoa
 
Ahsante sana Kaunga,

Binafsi nadhani nimepitwa na wakati...ila kwangu mimi, sikuwa kuwaza suala la kuwa na mabinti wawili kwa wakati mmoja. Kama alivyosema Smile, hiyo ni profession ambayo ni watu wachache wanaimudu.

Sitaki kuwaongelea wanawake, ila kwa wanaume walio wengi, ni jambo la kawaida sana kuwa na mchumba (unayempenda sana tena sana) na hapo hapo ukawa unaenda pembeni kutest zali la mentali....Ni kawaida tu!

Ila enzi zetu (1947), halikuwa jambo la kawaida kuwa na wachumba zaidi ya mmoja katika rank ya A, B, C, D........................

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye RED babu inakuwaje huko unakoenda kutest zali ukakamatika!
hayo yapo pia ujue.....
unajidai unaenda kutest zali halafu moyo wako ndo unaishia huko huko....
 
huyo ana bahati hiyo B iliyo-overtake na kuwa A ili-mess up....
ndo swali nililomwuliza babu Dark City, je ikitokea B ikakuteka? si utaisahau A jamani?
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye RED babu inakuwaje huko unakoenda kutest zali ukakamatika!
hayo yapo pia ujue.....
unajidai unaenda kutest zali halafu moyo wako ndo unaishia huko huko....

Mkubwa mwenzangu @FP,

Mie naomba nisiseme sana kwani hili ni jambo ambalo majority in the male's community wanalikubali na actually wanalipractice.

Tatizo ni kwamba wenzetu huwa hamtaki kukubali kwamba lipo....

Kuhoji kukamatwa ni sawa na kuuliza kwamba....kwa nini watu wanaendelea kuiba/kubaka/kupora wakati probability ya kukamatwa ni 50%??

Ngoja nisubiri, labda wadau wengine watanisaidia kujibu...

As for me....my professional line was and is still clear...

Babu DC!!
 
umepatikana mkubwa mwenzangu...
Ila haya mambo haya, ni vizuri kama utaamua usiwe na hiyo bima according to Kaunga......
unaweza kudhani unakata bima halafu mambo yakakugeukia.
 
Last edited by a moderator:
huyo ana bahati hiyo B iliyo-overtake na kuwa A ili-mess up....
ndo swali nililomwuliza babu Dark City, je ikitokea B ikakuteka? si utaisahau A jamani?

Sorry @FP,

Mie nilichoongelea siyo plan B....it is something like one night stand....

Hayo mambo ya plan B kwa upande wangu ni mazito...I couldn't and still can't handle!

Babu DC!!
 
umepatikana mkubwa mwenzangu...
Ila haya mambo haya, ni vizuri kama utaamua usiwe na hiyo bima according to Kaunga......
unaweza kudhani unakata bima halafu mambo yakakugeukia.

Nisome hapo juu mkubwa mwenzangu,

Mie siongelei wanaokata bima...naongelea wanaoenda kukata kiu mara moja moja.....kind of infii!!

Babu DC!!
 
Sorry @FP,

Mie nilichoongelea siyo plan B....it is something like one night stand....

Hayo mambo ya plan B kwa upande wangu ni mazito...I couldn't and still can't handle!

Babu DC!!
sawa babu....
hapa tulikuwa tunaongelea plan b na especially kwa wasiooa/olewa...
kwamba hii ikifeli basi una pa kukimbilia
 
sawa babu....
hapa tulikuwa tunaongelea plan b na especially kwa wasiooa/olewa...
kwamba hii ikifeli basi una pa kukimbilia

Ni sawa kabisa,

Na mie nimesema kuwa enzi zetu, hilo jambo halikuwa kawaida...labda mambo ya kwenda mara moja moja kukata kiu ila siyo bima...

Babu DC!!
 
Babu DC, Dena Amsi amesema plan B ni "back up"

Yaani ukichezea kibuti kwenye "primary" una jump fasta "secondary"!
 
Last edited by a moderator:
wanaume siku hizi wanasababisha wadada wawe na plan B.....maana unakuta dada kajitoa ilhali mkaka anagegeda tu....akiangalia na umri unasonga anakuwa nao 2/3 atayefika bei tu ndo huyo huyo

Nimefurahi sana kwani hii mada imerudi pale pale niliposema kuwa katika mambo ya ndoa, issue ya mapenzi ni rare commodity...watu wanaangalia convinience tu!!

Babu DC!!
 
Babu DC, Dena Amsi amesema plan B ni "back up"

Yaani ukichezea kibuti kwenye "primary" una jump fasta "secondary"!

Hakuna kitu kama hicho ndugu yangu,

Kwa mtu anayeendekeza ngono hilo linawezekana ila siyo kwa mtu anayetaka kuwa na mahusiano yenye kueleweka na yenye msimamo!

Babu DC!!
 
Ndiyo maana wewe ni generation ya kutoka sayari nyingine bwana.....lol!!

Cheka uongeze siku mwaya "Backup" muhimu mpendwa.

Hata ukiwa na computer yako si unafanya backup si ndio?

Imagine computer yote incrash na huna hata pa kuanzia unafanyaje sasa?

Kumbe mapenzi siku hizi yamefikia kiwango cha kulinganishwa na network ya mikompyuta??

Babu DC!!
 
kweli babu mimi nikianzisha plan B ndo ujue plan A kwisha habari yake
moyo mmoja..... nakuwaje na plan zaidi ya moja?
sitaki kabisha kujinyima haki yangu ya kupenda, fully

Mie mtu akinambia kuwa ana Plan A pekee ila pia anaiba mara moja moja nitamwelewa. Ila yule ambaye anasema kwamaba anamaitain A, B, C...etc na kutoa huduma zote basi nitamwogopa sana...

Anyway...ngoja niishie hapa kwani akina Dena Amsi wanaweza kunambia nimepitwa na wakati...lol!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…